Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,864
Ya wakala nakupaHaaaaaa mie sijasemea hilo ,nmesemea za wakala !!.
Wala hata usijali ,mkishaachana wee njoo tuu!!.
Ya wakala nakupaHaaaaaa mie sijasemea hilo ,nmesemea za wakala !!.
Wala hata usijali ,mkishaachana wee njoo tuu!!.
Duuhhh au nayenyewe mpaka upewe Ruhusa?? Hahahaha iyo Kali sana !!Ya wakala nakupa
Wewe Umeshaolewa?Kaa hivyohivyo ila usishangae wakataka kukuoa wewe
Hahahahaa. Mwenzangu beb ana wivu huyu acha tuDuuhhh au nayenyewe mpaka upewe Ruhusa?? Hahahaha iyo Kali sana !!
Weekend hii ujue
Believe me Ninja Kama una hela usinganganie kuoa maana Pesa zetu ndo zinatufariji na nguvu nyingi ndio tunaelekeza hukoMkuu itafikia mahala utakumbuka,
Angalia ata ao wate matajiri kama mengi akuna hasicho pata lkn ikambidi kuoa
Tatizo lako u-mbishi ww kiumbe. Ulitaka nikutongoze wapi? Tumekutania hapa ndo nimelianzisha tayari. Ngoja nije pm maybe utanielewa jinsi nnavyokufeel kumtima.Eti rahaaa sure hayo mawazo yako ni ya usiku although now ni asubuhi inaelekea mchana,eti kugegedwa ndo wanachojua wanaume wa cku hizi tu,nia haitangazwi hadharani Kijana...punguza mawazo finyu
njoo p.m niku-oeBwana yule hakua serious. Halafu eti ninaempenda mimi anasema ananiogopa eti hatuendani ni haki kweli?? Nyie wanaume wenyewe mnaogopa wanawake wazuri kama vile k zao za dhahabu mfyuuuuuu
Sitaki mie. Ujana wako uchezewe mie nije kukuoa kibibi!! Hell No!Jamani unanisingizia sijawahi kusema natafuta mume bali nilisema natamani kupenda tena. Siku nikitafuta mume nitaanza na wewe mkuu sema usiwe mchoyo na hela tu
Hapana, sio kweli.. ukiwa na pesa usipo oa utakua malaya tu.Believe me Ninja Kama una hela usinganganie kuoa maana Pesa zetu ndo na nguvu nyingi ndio tunaelekeza huko
Nakujanjoo p.m niku-oe
Basi nioe tu kama ndo hivyoSitaki mie. Ujana wako uchezewe mie nije kukuoa kibibi!! Hell No!
Nakutaka bado uko mbichi badae sitaki[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]
Aya sawa kana ana wivu mie sina haraka wala nini !!.Hahahahaa. Mwenzangu beb ana wivu huyu acha tu
Sawa dear.Aya sawa kana ana wivu mie sina haraka wala nini !!.
Ukishakua tayar utanitumia.
hata ukioa hatari iko pale pale, Mwanamke atakufilisi buree, yanini uoe wakti vile unavopata ndani ya ndoa unavipata bila ndoa shida niniHapana, sio kweli.. ukiwa na pesa usipo oa utakua malaya tu.
Kuliko kujihatarishia maisha, au labda useme utakua na hawala unaishi nae bila ndoa
[emoji8] [emoji8] ngoja nikubusu tu mgombaneSawa dear.
Jilete PM nione kama una ushirikianoBasi nioe tu kama ndo hivyo