unajua jambo likikuathiri katika umri mdogo linaacha madhara bado kwenye akili. kipindi cha kupevuka ugomvi wa kugombea wanawake wakali ulishaniathiri kiasi cha kuhisi wapo kwa ajili ya wengi maana kumfanya hawe wako pekee ni kazi wakati hicho mnachogombania kila mwanamke anacho. lazima nipate tiba ya saikolojia ndio akili ikawe sawa. hata hii ya machangudoa wengi ni wale waliokuwa wakali inanipa ukwamo sana juu ya kuwa na mwanamke mzuri sana.Kwanini inakusumbua? Hakuna mwanamke mzuri mbele ya mwanaume anaejiamini. Kwanza sisi tupo kwa ajili yenu na hata wanaume zetu sio mahandsome wala nini.
Yeap ndio hali halisi ilivyo sio kwamba tunawaogopa bali ni hizo consequencesUnafikiri huwa tunaogopa uzuri wenu. la hasha huwa tunajaribu kuangalia consequences za kuwa na mwanamke mzuri kupita kiasi
Kumbe una mume tayar, sasa unatafuta yupiHahahaaa. Wanaoweka masharti hawako serious. Unaweza ukasema unataka handsome halafu akaja usimpende. Mimi najali moyo wangu zaidi kuliko alivyo mwanaume. Nakumbuka nilikuaga napenda wanaume weusi wenye afro. Ila nikafall in love na mwanaume mweupe. Nikaona hakunaga vigezo kwenye mapenzi. Unaweza ona unapenda embe ukaangukia kwenye ndizi
Ok!Lete namba mkuu, tuache ku assume hatutofikia mwafaka.
Hicho kisiwe kipimo wala excuse bwanaa... mtu ukioa ata kuchepuka utajifikiria marambili nifanye je nikishikwa ..
tofauti na asiye oa, ana roam freely
Oa!
Ha ha ha 😛😛😛Kwanini inakusumbua? Hakuna mwanamke mzuri mbele ya mwanaume anaejiamini. Kwanza sisi tupo kwa ajili yenu na hata wanaume zetu sio mahandsome wala nini.
Ila kwa wanaume huwez kukuta hicho kitu hata wakae miaka100Funadamental law of charge.
Like charge........
Unlike charge.......
Hapo utagundua ulichokikuta mkuu
Bwana yule hakua serious. Halafu eti ninaempenda mimi anasema ananiogopa eti hatuendani ni haki kweli?? Nyie wanaume wenyewe mnaogopa wanawake wazuri kama vile k zao za dhahabu mfyuuuuuu
Basi tuwe mimi na wewe tu maana wote tuna tatizo la kukataliwa.Teh teh...
Hiyo ya ‘hatuendani’ hata mimi nishakutana nayo.
Hitimisho langu mtu akishasema hivyo maana yake ana tatizo la low self esteem.
Na muda mwingi atakuwa self-conscious na jinsi alivyo.
Matokeo yake atakuwa ni msumbufu na mwenye kukuletea kero tu.
Kila dakika mwenzio anataka umpe assurances kwamba eti kweli unampenda.
Watu wa hivyo nadhani huwa wana matatizo kichwani.
Basi tuwe mimi na wewe tu maana wote tuna tatizo la kukataliwa.
[emoji10][emoji10][emoji10][emoji9][emoji9][emoji9] bae.Kwa kweli!
Starting from today, Feb. 3, 2018, me and you are an item.
[emoji8][emoji8][emoji257][emoji257]
Maneno yako yamenichoma sana. lkn ni wachache wenye moyo huo yaan wa kutoangalia hela. hela ina nafasi yake ktk mapenzi . Upendo na amani ikatawala kwenye penzi hata utafutaji wa hela linakuwa jambo rahisi sana.Kweli tunaangaliaga utajiri lakini mapenzi yana nguvu kuliko pesa mkuu. Mwanamke asiejitambua ndo ataolewa na mwanaume kwa sababu ya pesa zake. Wale wanaojua mapenzi hawawezi poteza furaha zao kisa pesa.
NisameheeeeEti chama la wana [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kama mke wa mtu ndo usitongozwe? Kufungwa alifungwa Babu Seya na ametoka iwe mimi?Utatongoza wake za watu alafu mwisho wake utafungwa tulia wee iholomela,Aiseee ili jina co mzizi