Chanzo cha uhaba wa wanaume waoaji

Chanzo cha uhaba wa wanaume waoaji

Sasa namsaidiaje na yeye anaona hanistahili. Na mie kanipanga hadi nikamdondokea. Basi tena nabaki na utamu wangu yeye ataenda tafuta wa kufanana nae labda.
huyo jamaa ni mpuuzi sana, alikupa sababu za kukuogopa?
 
Cha kuelewa ni kwamba haya mahusiano sio yote hufika mbali yaani kuoana na kuishi kwenye ndoa mpaka mwisho .

Mengine huisha mapema na hamna haja ya kufosi kama unaona haiwezekani .

Na nikukubaliana zaidi ikishindikana flexibility itumike tu no way.
 
Cha kuelewa ni kwamba haya mahusiano sio yote hufika mbali yaani kuoana na kuishi kwenye ndoa mpaka mwisho .

Mengine huisha mapema na hamna haja ya kufosi kama unaona haiwezekani .

Na nikukubaliana zaidi ikishindikana flexibility itumike tu no way.
Kweli
 
Hapana, sio kweli.. ukiwa na pesa usipo oa utakua malaya tu.
Kuliko kujihatarishia maisha, au labda useme utakua na hawala unaishi nae bila ndoa
Kwani ukioa huwezi jihatarishia maisha? Wake wenyewe wachepukaji hawa!
 
Kuishi na mwanamke inataka uvumilivu wa hali ya juu sana. Maana wao wenyewe ukiwaweka wawili au zaidi ndani ya wiki tu utakuta wameshanuniana. Nlikuwa udsm mambibo hostel miaka ya 2003-2007 nlikuwa na rafiki yangu block B dem, siku nikaenda room kwake nikakuta kuna tv 2 redio 2 zote zimewashwa kwa sauti na kila mtu anaangalia ya kwake, mwenye redio anasikiliza kivyake. Nliusoma mchezo nikauelewa sikukaa nikasepa zangu. Hapo ndo nikagundua hawa binadam sio wenzetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wamepeana migongo!
 
Kwenye mahusiano Luna changamoto nyingi mno na ndio maana unahitajika uvumilivu na subira vinginevyo mtaishia kurudi kwenye mitandao hii na kuanza kuvuana Nguo .

Hasa ukiwa na mawazo ya kwamba umeoa malaika au umeolewa na malaika na, kwa kuwa watu wanaoana hawafahamiani kwa undani itakua biashara kichaa weakness ndogo tu inakua habari ya kitaifa hasa kwenye hizi social networks.

Pamoja na hayo kuna Vitu Vinci ambayo huwa nahisi Ke wanahisi zaidi ya uhalisia ,wakikuona uko mtanashati na kagari ka m3 wanafikiri ndio umeyamudu maisha siku ukimwambia ukweli kwamba nimefulia hawezi elewa .

Shughuli inaanzia hapo maana kwenye mahusiano yote yanayougua uchumi ndio push na pull factor.Uchumi ukiyumba tu itakua kesi Kubwa na uchumi ukiwa mzuri ni pull factor hamna uvumilivu wala subira .

Mwishoni MTU mmoja alihotimisha tu kwamba asilimia Kubwa na Ke wanajiuza kwa kunua au kutokujua.
 
Pesa ngumu sasa ya nini uongeze tatizo juu ya tatizo
 
Ningekuwa naishi milele labda ningejaribu kuwaelewa wanawake. Kwasasa nipo busy naishi kwa raha zangu. Its my way or no way.
 
Back
Top Bottom