Chanzo cha uhaba wa wanaume waoaji

Chanzo cha uhaba wa wanaume waoaji

haya mambo yapo toka enzi na enzi ...kipindi cha nyuma hapakuwa na media za kutoa taarifa kama kipindi hiki ila haya mambo yalikuwepo
 
Jamani unanisingizia sijawahi kusema natafuta mume bali nilisema natamani kupenda tena. Siku nikitafuta mume nitaanza na wewe mkuu sema usiwe mchoyo na hela tu
Wanaume tunapopenda huwa tunajitoa sana zaidi ya sana huwa inafika mahali tunakopa ili kuwaridhisha nyinyi ila miongoni mwenu mnakuwa hamna shukurani. Ila baadhi yenu huwa hatujuti kuwapata. Tatizo siku hizi wanawake wengi wanaangalia wenye utajiri na mkishawapata hao matajiri nao wamepitia mazito kweny mapenzi,kuna kipindi waliachwa na wapenzi wao waliowapenda, kudharauliwa, n.k sasa huyu lazima akung'ate tu na maumivu yake huwa ni makali.
 
Na ushoga umezid tofauti na zaman mbona hujalisema hili. Sikuhiz wanaume wazuri na nguvu zao lkn wanataka wanaume wenzao. Si ndio uhaba wa w'ume unapoanzia hapo pia
 
Wanaume tunapopenda huwa tunajitoa sana zaidi ya sana huwa inafika mahali tunakopa ili kuwaridhisha nyinyi ila miongoni mwenu mnakuwa hamna shukurani. Ila baadhi yenu huwa hatujuti kuwapata. Tatizo siku hizi wanawake wengi wanaangalia wenye utajiri na mkishawapata hao matajiri nao wamepitia mazito kweny mapenzi,kuna kipindi waliachwa na wapenzi wao waliowapenda, kudharauliwa, n.k sasa huyu lazima akung'ate tu na maumivu yake huwa ni makali.
Kweli tunaangaliaga utajiri lakini mapenzi yana nguvu kuliko pesa mkuu. Mwanamke asiejitambua ndo ataolewa na mwanaume kwa sababu ya pesa zake. Wale wanaojua mapenzi hawawezi poteza furaha zao kisa pesa.
 
Habari za jioni Great Thinkers.

Huu unaweza kuwa si wakati sahihi kwangu kuandika kuhusu jambo hili, ila kwa sababu ya tafsiri hasi miongoni mwetu sina budi kulizumgumzia.

Uhaba wa wanaume waoaji (Husband Scarcity) ni jambo ambalo limekuwa moja ya changamoto kwa dada zetu siku hizi.

Ukiende kwenye nyumba za ibada nyingi utawakuta wanawake wengi ambao lengo lao si kumcha muumba bali ni kutaka kuombewa ili wapate wenzi wao wa maisha.

Turejee enzi za mababu zetu, je kulikuwa na uhaba wa wanaume waoaji? Kama jibu ni hapana, unadhani kwamba enzi hizo wanaume walikuwa wengi kuliko wanawake au kulikuwa na uwiano sawa kati ya jinsia hizo mbili? Hapana

Nadhani enzi hizo wanawake walikuwa na thamani kubwa sana na walikuwa wameandaliwa kujenga familia zilizo bora nna maisha Mazuri na sio kutafuta familia zilizo na maisha bora ili waende huko.

Enzi za mababu zetu kijana akiwa na uwezo wa kujihudumia na kumhudumia mke, basi alianza kutafuta mwezi wa maisha na mwanamke ambae alimpata, mwanamke huyo ali mu appreciate kijana na kumsaidia kujenga maisha yao ya baadae.

Ninachojaribu kuzungumzia hapa ni kwamba dada zetu ndio wamesababisha hili tatizo la ukosefu wa wanaume waoaji.

Kwanini niseme dada zetu ndio wamejitengenezea hili tatizo?

Leo ukimuuliza mwanamke / Binti kwamba anamtaka mume wa ainagani? Atakuambia anataka mwanaume mbae:

- Awe handsome
- Awe na degree
- Awe mwajiliwa au mjasiliamali
- Awe presentable nam mengine kama hayo (tunayasikia humu kila siku)
- na Ili asionekane worldly anaongezea Awe mcha Mungu.

Utamsikia mwanadada anasema, “siwezi kuteseka kwetu pia nikateseke kwa mwanaume” what a wonderful dream?

Sikatai unaweza kuwa umetoka kwenye life bomba na ukaolewa na mtu amabe yuko vizuri na baadae kwenye ndoa the table turns around na shida zikaanza? Je Utakimbia?

Kwa mfano.- Ukiangalia idadi ya hawa dada zetu na sisi wanaume tunao wazunguka katika maeneo yetu ujumlishe ma vigezo vyao utagundua kuna tatizo na tatizo hili nikwamba vigezo ambavyo wadada wanavitaja utakuta wanaume wengi hawana.

Tuchukulie mfano kati wanawake 50 wanatoa vigezo ambavyo anayvyo mwanaume moja tu, sasa kama huyo mwanaume 1 mwenye vigezo akioa mwanamke moja kati ya 50 unadhani nini kitatoke kwa 49 walio baki?

Nisiseme mengi ila dada zetu naomba niwashaurini. Its beter to start small and end up big than starting big and end up small.

Kiuhalisia ni vigumu kumpata mwanaume ambae amefikisha muda wa kuo na anavigezo vyote unavyovitaka. Wapo wachache sana.

Jamani punguzene vigezo kwa sababu hivyo vigezo vinawafanya muruke mikojo na kikanyaga kinyesi, alafu mwisho wa siku mkiwa disaponted mnakuja na kamsemo kenu kuwa wanaume wote ndivyo walivyo

Njia Rahisi ya kupata mwenza wa maisha ama mume bora ni kubadilisha mtazamo wenu on who a husband is

A husband is not a poverty alleviation program jamani

Angalizo:

Sijawashauri mchukue mwanaume yeyote la hasha, si kila mwanaume ni husband material, jarubuni kuangalia what make him to be who he is na si vitu anavyomiliki ama muonekano wake.

Nawakilisha…

Mapovu Ruksa
Eti poverty alleviation program
 
Angalau risk si kubwa
Sasa mkuu hoa wanaume wasiooa (wenye risk kubwa according to you) ndio pia wanachepuka na wake za watu sometimes sasa huoni bado hakuna nafuu ni mwenyewe tu kujitambua, haijalishi umeoa au hujaoa!
 
Bwana yule hakua serious. Halafu eti ninaempenda mimi anasema ananiogopa eti hatuendani ni haki kweli?? Nyie wanaume wenyewe mnaogopa wanawake wazuri kama vile k zao za dhahabu mfyuuuuuu
kasumba ya huyo mtu wako hata mimi inanisumbua sana sijui kwani
 
kasumba ya huyo mtu wako hata mimi inanisumbua sana sijui kwani
Kwanini inakusumbua? Hakuna mwanamke mzuri mbele ya mwanaume anaejiamini. Kwanza sisi tupo kwa ajili yenu na hata wanaume zetu sio mahandsome wala nini.
 
Kwanini inakusumbua? Hakuna mwanamke mzuri mbele ya mwanaume anaejiamini. Kwanza sisi tupo kwa ajili yenu na hata wanaume zetu sio mahandsome wala nini.
Unafikiri huwa tunaogopa uzuri wenu. la hasha huwa tunajaribu kuangalia consequences za kuwa na mwanamke mzuri kupita kiasi
 
Bwana yule hakua serious. Halafu eti ninaempenda mimi anasema ananiogopa eti hatuendani ni haki kweli?? Nyie wanaume wenyewe mnaogopa wanawake wazuri kama vile k zao za dhahabu mfyuuuuuu
Mmh,alikuwa kwenye mahusiano huyo, vinginevyo kuna kitu kilisomeka hapo,
 
Sasa mkuu hoa wanaume wasiooa (wenye risk kubwa according to you) ndio pia wanachepuka na wake za watu sometimes sasa huoni bado hakuna nafuu ni mwenyewe tu kujitambua, haijalishi umeoa au hujaoa!
Lete namba mkuu, tuache ku assume hatutofikia mwafaka.
Hicho kisiwe kipimo wala excuse bwanaa... mtu ukioa ata kuchepuka utajifikiria marambili nifanye je nikishikwa ..
tofauti na asiye oa, ana roam freely
 
Pamoja na hayo kuna Vitu Vinci ambayo huwa nahisi Ke wanahisi zaidi ya uhalisia ,wakikuona uko mtanashati na kagari ka m3 wanafikiri ndio umeyamudu maisha siku ukimwambia ukweli kwamba nimefulia hawezi elewa .
Yaani hapa nakubalina na wewe. wanakuwaga wagumu kuelewa. mbaya zaidi pale utakapokuwa umejitutumua ukampleka Kempinski mara mbili tatu
 
Back
Top Bottom