Mr Cu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,289
- 976
Leta vigezo vyako na kumbuka kuna mtu alishawai kuleta Uzi juu ya kukupenda......sasa cjui yule co mwanaume au.....T&C havikuendana au.....Kweli mwenyewe natafuta mume sipati
Leta vigezo vyako na kumbuka kuna mtu alishawai kuleta Uzi juu ya kukupenda......sasa cjui yule co mwanaume au.....T&C havikuendana au.....Kweli mwenyewe natafuta mume sipati
Bwana yule hakua serious. Halafu eti ninaempenda mimi anasema ananiogopa eti hatuendani ni haki kweli?? Nyie wanaume wenyewe mnaogopa wanawake wazuri kama vile k zao za dhahabu mfyuuuuuuLeta vigezo vyako na kumbuka kuna mtu alishawai kuleta Uzi juu ya kukupenda......sasa cjui yule co mwanaume au.....T&C havikuendana au.....
Basi......msamehee....kupitia Uzi huu toa vigezo vya mtu unae muhitaji....ila ctegemei yawe mashart mengi kaa wengi utadhani wanatafuta meneja wa biashara zaoBwana yule hakua serious. Halafu eti ninaempenda mimi anasema ananiogopa eti hatuendani ni haki kweli?? Nyie wanaume wenyewe mnaogopa wanawake wazuri kama vile k zao za dhahabu mfyuuuuuu
Mie sina masharti ujue. Nikimpenda tu inatosha. Hela tutatafuta sema tu asiwe mchoyo wa hela zake kama anazo [emoji2][emoji2]Basi......msamehee....kupitia Uzi huu toa vigezo vya mtu unae muhitaji....ila ctegemei yawe mashart mengi kaa wengi utadhani wanatafuta meneja wa biashara zao
Haha sio sivyo ivyo, lengo ni kutaka kujua u jinsia ganiBahati mbaya ukakuta kuna makufuli kibao. Hebu nijuze lengo la kufukua nini?
Juzi nilikuwa na nakula piza hapa pizzahut mlimani city sasa pembeni kulikuwa na jamaa na dem mzuri ila jasho linamtoka kucheki vizuri ile risiti ya EFD anaishika huku anasikitika demu hana habari nilicheka kimoyo nikasema usione watu wanawakimbia watoto wazuri wakipiga hesabu mpaka wanaonja tayari katoboka sana alafu bado hata kukatika hawezi alafu kamoja tu kachoka bora nikomae na huyu mama lishe hapa hana mbwembweBwana yule hakua serious. Halafu eti ninaempenda mimi anasema ananiogopa eti hatuendani ni haki kweli?? Nyie wanaume wenyewe mnaogopa wanawake wazuri kama vile k zao za dhahabu mfyuuuuuu
Safii sana....wengine waje wajifunze hapa bila kuwataja.....wanao weka mashart kibao kaaa.....vile wapo ogMie sina masharti ujue. Nikimpenda tu inatosha. Hela tutatafuta sema tu asiwe mchoyo wa hela zake kama anazo [emoji2][emoji2]
Hahahahaaa. Tatizo mnataka kuimpress wanawake wazuri. Mwanamke akikupenda hata umpeleke kwa mama lishe atakula. Akiwa hakupendi ndo anakikomesha na mainvoice makubwa makubwaJuzi nilikuwa na nakula piza hapa pizzahut mlimani city sasa pembeni kulikuwa na jamaa na dem mzuri ila jasho linamtoka kucheki vizuri ile risiti ya EFD anaishika huku anasikitika demu hana habari nilicheka kimoyo nikasema usione watu wanawakimbia watoto wazuri wakipiga hesabu mpaka wanaonja tayari katoboka sana alafu bado hata kukatika hawezi alafu kamoja tu kachoka bora nikomae na huyu mama lishe hapa hana mbwembwe
HahahaaKweli mwenyewe natafuta mume sipati
Duuuu ebanaeeeeeeMie sina masharti ujue. Nikimpenda tu inatosha. Hela tutatafuta sema tu asiwe mchoyo wa hela zake kama anazo [emoji2][emoji2]
Hahahaaa. Wanaoweka masharti hawako serious. Unaweza ukasema unataka handsome halafu akaja usimpende. Mimi najali moyo wangu zaidi kuliko alivyo mwanaume. Nakumbuka nilikuaga napenda wanaume weusi wenye afro. Ila nikafall in love na mwanaume mweupe. Nikaona hakunaga vigezo kwenye mapenzi. Unaweza ona unapenda embe ukaangukia kwenye ndiziSafii sana....wengine waje wajifunze hapa bila kuwataja.....wanao weka mashart kibao kaaa.....vile wapo og
Saint Ivuga fanya mambo basi utuoe jamaniHahahaa me mwenyew natafuta mweza
Safi sana...kwa uelewa wako huu, tungekuwa mtaa mmoja ungekuwa mama chanjaa nowHahahaaa. Wanaoweka masharti hawako serious. Unaweza ukasema unataka handsome halafu akaja usimpende. Mimi najali moyo wangu zaidi kuliko alivyo mwanaume. Nakumbuka nilikuaga napenda wanaume weusi wenye afro. Ila nikafall in love na mwanaume mweupe. Nikaona hakunaga vigezo kwenye mapenzi. Unaweza ona unapenda embe ukaangukia kwenye ndizi
Kooooh kooooohBwana yule hakua serious. Halafu eti ninaempenda mimi anasema ananiogopa eti hatuendani ni haki kweli?? Nyie wanaume wenyewe mnaogopa wanawake wazuri kama vile k zao za dhahabu mfyuuuuuu
Atatuweza watatu?Saint Ivuga fanya mambo basi utuoe jamani
Hahahahaaa. Unaweza nihamishia tu mtaani kwenu sina shida.Safi sana...kwa uelewa wako huu, tungekuwa mtaa mmoja ungekuwa mama chanjaa now
Pole jamani. Umepata coflin?Kooooh koooooh
Nani tena kaongeza? Mimi na wewe tunatosha mwenza.Atatuweza watatu?
HahhaaWanaume wengi wanamatatizo cku hizi yaani utakuta mtu kwanza,Mario mjini unafkiri mwanamke gani anataka hio Stress...