Chanzo cha uhaba wa wanaume waoaji

Chanzo cha uhaba wa wanaume waoaji

Hahahahaaa. Unaweza nihamishia tu mtaani kwenu sina shida.
Karibu mtaan kwetu... ..pembeni ya mti mkubwaa karibu na duka la mangi wee endelea kujaa utaona nyumba ya tembe ingia ndani tuyajenge
 
Hahahahaaa. Tatizo mnataka kuimpress wanawake wazuri. Mwanamke akikupenda hata umpeleke kwa mama lishe atakula. Akiwa hakupendi ndo anakikomesha na mainvoice makubwa makubwa
Hivi mapenzi ya kweli yapo siku hizi.... Labda kijijini kwetu Mwakaleli sio bongo hii
 
Tatizo kila mwanamke siku hizi ni mbinafsi hataki kushea mapenzi. Wanaume tumeumbwa na tamaa ya kupenda wake wengi. Babu zetu walikuwa wanaoa wake wengi na maisha yalikuwa poa.

Upande wangu kuwa na wake wasiozidi wanne kunanipa nguvu ya kujigijigi maana kila nikienda kwa huyu namuona mpya, nafanya kwa juhudi zote, na hili lipo kwa wanaume karibu wote hata wale dini zao haziruhusu matala lakin wakichepuka wanapiga bonge la show.

Tukubali au tukatae, wanawake wa kisasa wengi watabaki masingo maza tu kwa kuwa hawataki changamoto za ndoa hasa ya polygamists kama mimi.

Nyie kina mama hebu igeni bibi zenu. Acheni kuwa wachaguzi na msimpangie mungu awaumbie wanaume wa aina muitakayo.

Bibi zenu kwetu usukumani waliolewa na babu hata 10 na maisha yalisonga. Tena ndoa za wake wengi lazima mtoke kimaisha, mfano ni babu yangu, alikuwa na wake sita na ming'ombe ya kutosha.

Nawasihi sana kina dada muige mfano wa bibi zenu waliolewaje na babu zenu?? Walifuata degree au mkunyenge??[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahahaaa. Wanaoweka masharti hawako serious. Unaweza ukasema unataka handsome halafu akaja usimpende. Mimi najali moyo wangu zaidi kuliko alivyo mwanaume. Nakumbuka nilikuaga napenda wanaume weusi wenye afro. Ila nikafall in love na mwanaume mweupe. Nikaona hakunaga vigezo kwenye mapenzi. Unaweza ona unapenda embe ukaangukia kwenye ndizi
Halafu mzigua90 ujue unazingua sana ww mbidada. Ulitoaga post humu unatafta mume nikakufuata PM ukanipotezea.

Hebu ukuje nikufanye mke wa nne. Bado nafas moja tu
 
Sidhani kama kuna mwanamke analalamika kuhitaji mume.Vigezo wanavyotaka ni mtihani mkubwa maana kama atasema uwe na pesa,usiwe na kibamia,uwe na digrii,uwe mcha Mungu,usiwe mweupe bali mweusi,mrefu maana wafupi wanasumbua hawajiamini,uwe na six pack n.k haya ni kama masharti ya mganga wa kienyeji anayekwambia ulete maziwa ya samaki ili upate utajiri!
 
Labda una jisura la ajabu na mshepu ka kiroba cha viazi lakin kama umrembo huezi kuwa na mario.

[emoji23][emoji23]
Lol,nashkuru Mungu sura nmebarikiwa,am beautiful na co kama mm ndo nakuwa na mamario nilikuwa nasemea mamario Kwa mtazamo,kwanza inaezekana na ww ni mmoja wakuogopa wanawake wazuri
 
Ukiona unajizungusha kuoa ujue hujaamua tuu.

Ila muda ukifika wakuoa utaoa
Nimekufatilia sana humu na nimegundua muda wako wa kuoa umefika, fanya uoe Basi, ingekuwa haujafika usingetambua hivo, haiwezekani Kila mara useme hivi, au bado huna vigezo mkuu, tutapunguza vigezo na kubakisha vya uwe na degree[emoji3][emoji3][emoji3]uwe na pesa[emoji16][emoji16], upendo wa dhati, u handsome na ucha Mungu unatengenezwa tu, mengine tutavumiliana, ni hayo tu [emoji2]
 
Kwanza mnakosea sana kuwaita wanawake ni wanadamu. Hawa ni viumbe waliotengenezwa kwa materials zilizotoka kwa mwanadamu. Si kila kinachotengenezwa kwa pamba ni nguo mengine ni makanyagio ya mlangoni. Hawa viumbe tulipaswa kuishi nao na kuwafuga kama Bobi na papi. Kuoa mwanamke na ukam-consider kama binadamu huna tofaut na aliyeoa mbuzi halaf anataka huyo mbuzi a-reason kama mwanadamu
Men are created but women derived from men.
Mwenye kusikia na asikie neno hili ambalo roho ayaambia makanisa.
 
Kwakweli punguzen ,wanawamke mnachagua sanaaaaa loooo , embu punguzen vigezo kwakweli !!

Asante kwa kuliona hilo
 
Lol,nashkuru Mungu sura nmebarikiwa,am beautiful na co kama mm ndo nakuwa na mamario nilikuwa nasemea mamario Kwa mtazamo,kwanza inaezekana na ww ni mmoja wakuogopa wanawake wazuri
Poa kumbe mzuri eeh. Njoo pm nikutongoze. Mie sio mario, ntakuhudumia usijali
 
Kwanza mnakosea sana kuwaita wanawake ni wanadamu. Hawa ni viumbe waliotengenezwa kwa materials zilizotoka kwa mwanadamu. Si kila kinachotengenezwa kwa pamba ni nguo mengine ni makanyagio ya mlangoni. Hawa viumbe tulipaswa kuishi nao na kuwafuga kama Bobi na papi. Kuoa mwanamke na ukam-consider kama binadamu huna tofaut na aliyeoa mbuzi halaf anataka huyo mbuzi a-reason kama mwanadamu
Men are created but women derived from men.
Mwenye kusikia na asikie neno hili ambalo roho ayaambia makanisa.
Nadhani ubongo wako hauko vizuri, kama ulichoandika umekimaanisha, na kama umeandika kimzaha, Mungu anakuona, ipo siku utajua thamani ya mama na kuikiri waziwazi
 
Back
Top Bottom