Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

Mapenzi ya jinsia moja umeanza muda mrefu sana tangu karne ya 8. Bahati nzuri kipindi hiki hakukuwa na media kama sasa. Ni kipindi ambacho biashara ya utuma ilishamiri sana.

Wanaume ndio walikuwa wanahitajika zaidi kuliko wanawake. Hivyo basi kutokana na kusafiri muda mrefu kwenye majahazi, historia iliyofichwa inaeleza wale MABWANA walikuwa wanawafanyia vibaya kinyume na maumbile wale watumwa.

Unabisha? Hii ilitokana na kukaa muda mrefu njiani, chakula kikuu kilikuwa biriani ambayo ina mafuta mengi sana.

Biriani ilipunguza gharama sana muda mwingi watumwa waliishia kunywa maji...

Back to topic fuatilia maeneo mengi ambayo wamepita wale MABWANA na kukaa muda mrefu kuna haya mambo sana....
Mada nzito hii, Asante, Kama vipi namwaga mboga, Bora ukweli usemwe!!!!
 
Teeh teeh teeh.

Dada huwezi kuondoa ukweli kwamba wazungu wanapenda mno tena sana huu mchezo.

Lakini kwa vile ni makafiri wenzako wala huoni.

Ebu cheki hapa chini hawa mashoga
View attachment 680523
Hapo ni kanisani na tazama kwenye back ground ya hiyo picha utaona kisanamu cha bikra maria.

Yaani nyie makafiri mpaka makanisani mnalawitiana achilia mbali kufungishana ndoa.
Ni kwasababu wazungu wamekuwa wa wazi mno katika hili
 
Uislamu uliletwa na waarabu hivyo ni rahisi sana mtu mwenye uelewa mdogo kuhusianisha chochote kinachofanywa na waarabu na uislamu...

Ukristo uliletwa na wazungu pia ni rahisi sana kwa mtu asiyejielewa kuhusianisha chochote kinachofanywa na wazungu na ukristo.

Wazungu na waarabu wote wana mazuri na mabaya yao, tatizo tunashindwa kutathmini chochote kwa fikra huru kwa kuwa wametuteka kwa imani walizotuletea, na katika hilo wamefanikiwa sana.

Bora dini zetu za kiafrila huwez kusikia upuuzi wa ushoga
 
Hivi nisaidieni
Makubwa haya, hivyo Kuna haya Muhamadi alimaanisha unaweza kumuingilia mwanamke kinyume????? Make mbona waislamu particularly waarabu wanapenda Sana mchezo huo?????
Wafanya biashara ya utumwa wengine walianza ku settle Dar, Mafia, Pangani, Kilwa Tanga na kwingineko. Walioa bibi zetu.

Wale mabibi walijengewa nyumba Kariakoo. Ukiwacheleweshea kodi yao wanakwambia wazi unajua nilifanya nini kujenga hii nyumba?
 
Wakristo pia tunafahamu kuwa mapenzi ya jinsia moja ni dhambi inayomchukiza Mungu Mwenyezi kuliko zote. Hao wanaofanya wanajijua wenyewe

Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa
 
Ni kwasababu wazungu wamekuwa wa wazi mno katika hili
Bila kusahau wanalazimisha pia na vi nchi vyetu maskini kulawitiana kama wao.

Tena mpaka nguvu inatumika tukubali kwa kuambiwa kwamba tusipokubali basi watasita kutoa misaada.

Yaani wanachotaka wao kama wewe dada sky una mwanao wa kiume mimi hydroxo nikipenda nije kumchumbia awe mke wangu na wewe utulie tu pindi naondoka nae.

Je wewe hupo tayari kwa hilo.
 
Kwasababu ukiukwaji wa haki za binadamu, ukisema hadharani kuwa wewe ni shoga unauliwa.

Ndio ujue kuna utofauti

Kuna Nchi Mwanaume kufir.wa ni haki yake ya kubinadamu na imeandikwa kwenye Katiba na Sheria za Nchi nchi zingine kufanyiwa hivyo Mwanaume ni kosa la jinai haijalishi unapenda au hupendi

Imagine Mtoto wako wa Kiume anakuletea Nyumbani kukutambulisha Mwanaume anaemlawiti Eti ndio Uhuru wa kujiamulia mambo yake
 
Bila kusahau wanalazimisha pia na vi nchi vyetu maskini kulawitiana kama wao.

Tena mpaka nguvu inatumika tukubali kwa kuambiwa kwamba tusipokubali basi watasita kutoa misaada.

Yaani wanachotaka wao kama wewe dada sky una mwanao wa kiume mimi hydroxo nikipenda nije kumchumbia awe mke wangu na wewe utulie tu pindi naondoka nae.

Je wewe hupo tayari kwa hill.
Si hivyo, wanaruhusu uhuru wa kuamua lakini hulazimishwi kufanya usichopenda.

Kama umeamua kuacha wanawake una unapenda ndoa na mwanaume mwenzako ruksa lakini kulazimisha ni big no.

Wanaona Africa hakuna uhuru wa kuchagua maisha unayotaka kuishi.
 
Wakristo pia tunafahamu kuwa mapenzi ya jinsia moja ni dhambi inayomchukiza Mungu Mwenyezi kuliko zote. Hao wanaofanya wanajijua cwenyewe.

Watu w bguvwanazngamia kwa kukosa maarifa
Acha uongo na uzushi we bibi.

Yaani nyie makafiri mpaka umo makanisani mnafungishana ndoa za mashoga halafu ujifanye mnachukia.

Teeh ebu angalia hapa chini.
_20180120_082011.JPG

Mashoga hao ndani ya kanisa na biblia wameshikishwa halafu useme mnachukia.

Acheni unafki nyie watu.
 
Wazungu wanawachukia sana peadophiles wale wanao fi.ra watoto. Wanafungwa jela zenye high security na kule wafungwa wenzako wakijua kosa laki unaweza kufua huko huko
 
Acha uongo na uzushi we bibi.

Yaani nyie makafiri mpaka umo makanisani mnafungishana ndoa za mashoga halafu ujifanye mnachukia.

Teeh ebu angalia hapa chini.
View attachment 681913
Mashoga hao ndani ya kanisa na biblia wameshikishwa halafu useme mnachukia.

Acheni unafki nyie watu.
Kwa kifupi si ma kanisa yote na kama ni mfuatiliaji mzuri wengi wana achana na traditional churches kwenda kwenye Pentecost churches huko huu ujinga haupo kabisa
 
Mapenzi ya jinsia moja umeanza muda mrefu sana tangu karne ya 8. Bahati nzuri kipindi hiki hakukuwa na media kama sasa. Ni kipindi ambacho biashara ya utuma ilishamiri sana.

Wanaume ndio walikuwa wanahitajika zaidi kuliko wanawake. Hivyo basi kutokana na kusafiri muda mrefu kwenye majahazi, historia iliyofichwa inaeleza wale MABWANA walikuwa wanawafanyia vibaya kinyume na maumbile wale watumwa.

Unabisha? Hii ilitokana na kukaa muda mrefu njiani, chakula kikuu kilikuwa biriani ambayo ina mafuta mengi sana.

Biriani ilipunguza gharama sana muda mwingi watumwa waliishia kunywa maji...

Back to topic fuatilia maeneo mengi ambayo wamepita wale MABWANA na kukaa muda mrefu kuna haya mambo sana....
Ni kweli kabisa wanahusudu huo mchezo mchafu...tena wanaita mambo ya pwani.

Tena Waarabu huwafanya wachumba zao kisha wanaacha bikira ya mbele ili siku ya ndoa wakikaguliwa ionekane.

Wachafu sana hawa watu Sheikh.
 
Ninaamini pia si wote wenye mchezo huo.
 
Back
Top Bottom