Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

prenge

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
218
277
Mapenzi ya jinsia moja umeanza muda mrefu sana tangu karne ya 8. Bahati nzuri kipindi hiki hakukuwa na media kama sasa. Ni kipindi ambacho biashara ya utumwa ilishamiri sana.

Wanaume ndio walikuwa wanahitajika zaidi kuliko wanawake. Hivyo basi kutokana na kusafiri muda mrefu kwenye majahazi, historia iliyofichwa inaeleza wale mabwana walikuwa wanawafanyia vibaya kinyume na maumbile wale watumwa.

Unabisha? Hii ilitokana na kukaa muda mrefu njiani, chakula kikuu kilikuwa biriani ambayo ina mafuta mengi sana. Biriani ilipunguza gharama sana muda mwingi watumwa waliishia kunywa maji.

Back to topic: Fuatilia maeneo mengi ambayo wamepita wale mabwana na kukaa muda mrefu kuna haya mambo sana.
 
Ukitaja hilo kabila tu......kuna watu watakubwatukia hapa kwa imani zao.....

Jitahidi kuelezea mpaka uwezo wako wa mwisho ili waelewe kuwa umezungumzia kabila lile tuuu!
Au unamanisha kabila gani?
 
Ushoga umeanza mda mrefu sana tangu karne ya 8
Bahati nzuri kipindi hiki hakukuwa na media km sasa
Ni kipindi ambacho biashara ya utuma ilishamiri sana...
Wanaume ndio walikuwa wanahitajika zaidi kuliko wanawake.
Hivyo basi kutokana na kusafiri mda mrefu kwenye majahazi ....historia iliyofichwa inaeleza wale MABWANA walikuwa wanawafanyia vibaya kinyume na maumbile wale watumwa.
Unabisha!? Hii ilitokana na kukaa mda mrefu njiani...chakula kikuu kilikuwa biriani ambayo ina mafuta mengi sana...
Biriani ilipunguza gharama sana mda mwingi watumwa waliishia kunywa maji...
Back to topic fuatilia maeneo mengi ambayo wamepita wale MABWANA na kukaa mda mrefu kuna haya mambo sana....
Ungeyataja ya mfano
 
Back
Top Bottom