Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

Waarabu ni mashoga wakubwa na mafirauni wanatutia aibu
Teeh teeh teeh

Shangazi punguza mahaba niue dhidi ya wazungu basi yaani unataka kusema hawa hapa chini ni warabu?
download (3).jpg


Yaani nyie makafiri huu mchezo mnaupenda mpaka mmeona muuhalarishe makanisani kwenu.
 
Sjakuelewa, Mimi kwenye uKoo wa kwetu atakayeshiriki kitendo hicho anakuwa kichaa, Ni mwiko
Na mimi kwenye ukoo wetu vilevile kuingiliana wanaume ni laana kubwa.... Ila pia maandiko na historia znatuambia imani na mila nyng za kafrika mwanamke akizaa sope(albino) n laana pia ili pasitokee madhara hakuna budi isipokua wote au mmoja wapo auawe
Kwa hio mkuu unataka turud huko
 
Yan mleta uzi kaeleza vizuri asili ya ushoga ni waarabu kuja kufanya biashara ya utumwa mtu linamtoka povu la dini
Mamdogo njoo taratibu basi.

Tunajua tangu upigwe mimba na mwarabu kisha akakutelekeza umekua na chuki nao sana.

Hivi hapa chini nao ni warabu?
_20180120_082050.JPG
_20180120_082011.JPG
UUmewaona makafiri wenzako wanafungishana ndoa kanisani hapo.
Lakini kwa vile nyie warabu ni adui zenu mpaka hao wazungu utasema warabu.
 
Mi naelezea uhalisia sio imani ya MTU cz hakuna imani inayokubali uchafu...
Waarabu ndio weleta huo ujinga
Sidhani kama ni kweli, Wazungu huwa hawapendi kabisa kufuata ya Kiarabu, Lakini tunaona Wazungu wako Wazi Kabisa, Wanaoana, na Mpaka wanataka watulazimishe Afrika tufuate ya kwao, Taasisi zote zikutetea Ushoga mizizi iko Ulaya na Amerika na Sio Asia.
Wanaume wanafanyiwa Upasuaji, na kuwa au kuzaa Chanza ni Ulaya, Mzungu hakuna dhambi ambayo hawajaifanya, Kumbuka Wazungu hawafuati ya kiarabu kamwe. Ndiyo Maana Yesu kazaliwa Mashariki ya Kati, wao wamemfanya wao.
 
One of stubborn mad infidel Desmond tutu ...aliwah kusema ikiwa kuna pepo ambayo mashoga hawatakiw yeye hataingia ......askofu huyo ana tuzo yao inaitwa nobel
Kajivunjia heshima. Waafrika wachache sana wanamtia maanani Siku hizi Baada ya Kauli yake hiyo
 
Back
Top Bottom