Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

Kwa East Africa ni Waarabu na ndio maana hakuna nchi yenye mashoga wengi duniani kuliko Saudia. Wakaleta upumbavu wao huku East Africa.

Sasa Kama Saudia mashoga wengi lakin hawajapitisha Sheria ya kuruhusu Ushoga , Ulaya na makanisani wapo wachache tayari washaruhusu Ushoga jee wakiwa wengi Kama huko si mtaambiwa msipikuwa mashoga hamtaona ufalme wa Milele?
 
Kama nataka kukuelewa.....ila mi ninavyojua hii hali kuchochewa na tamaduni zao kua wanaamini katika virginity na hua inatunzwa mpaka ndoa ipite Kwa hiyo wanatumia sana back Kwa walio nje handoa na nikama kawaida Kwa wengi wao....wanawake wa kiarabu wanatunza sana virginity ukiona wewe umeshaitoa bass we ni kahaba kule ukahaba usifikir ni kama huku sinza kule hawakai uchi kahaba wa kule ni yule a lie toa virginity yake kabla ya ndoa....nimeishi nchi zao kidogo nawafahamu ubaya na uzuri wao
 
Mapenzi ya jinsia moja umeanza muda mrefu sana tangu karne ya 8. Bahati nzuri kipindi hiki hakukuwa na media kama sasa. Ni kipindi ambacho biashara ya utuma ilishamiri sana.

Wanaume ndio walikuwa wanahitajika zaidi kuliko wanawake. Hivyo basi kutokana na kusafiri muda mrefu kwenye majahazi, historia iliyofichwa inaeleza wale MABWANA walikuwa wanawafanyia vibaya kinyume na maumbile wale watumwa.

Unabisha? Hii ilitokana na kukaa muda mrefu njiani, chakula kikuu kilikuwa biriani ambayo ina mafuta mengi sana.

Biriani ilipunguza gharama sana muda mwingi watumwa waliishia kunywa maji...

Back to topic fuatilia maeneo mengi ambayo wamepita wale MABWANA na kukaa muda mrefu kuna haya mambo sana....
Kwi kwi kwi.

Kweli ukiwa kafiri akili za kufikiri zinakua kama funza.

Hivi nani asiyejua swala la ushoga limetamalaki ulaya yote wanaume kwa wanaume wanaoana vivo hivyo kwa wanawake pia
download (3).jpg

download.jpg

Tena kibaya zaidi hizo ndoa mpaka kanisani zinafungishwa mpaka sheria za kuwalinda hao manyang'au zipo.

Teeh teeh teeh.
 
Sasa Kama Saudia mashoga wengi lakin hawajapitisha Sheria ya kuruhusu Ushoga , Ulaya na makanisani wapo wachache tayari washaruhusu Ushoga jee wakiwa wengi Kama huko si mtaambiwa msipikuwa mashoga hamtaona ufalme wa Milele?
hahaaaaa
 
_20180120_082011.JPG
Ile ni culture yao hawana haja ya kuruhusu. Kiasilia wako vile.
Ma mdogo arabuni sio kama kwenu nyie ulaya

Kule ukigundulika wewe ni shoga amma unajiusisha na vitendo hivyo adhabu yake ni kifo tu.

Hawachekei ufirauni kama wazungu mpaka sheria za kuwalinda wamewaekea na mpaka makanisani hizo ndoa zinafungishwa tena na biblia wa.nashikishwa.
 
Kwi kwi kwi.

Kweli ukiwa kafiri akili za kufikiri zinakua kama funza.

Hivi nani asiyejua swala la ushoga limetamalaki ulaya yote wanaume kwa wanaume wanaoana vivo hivyo kwa wanawake pia
View attachment 680433
View attachment 680438
Tena kibaya zaidi hizo ndoa mpaka kanisani zinafungishwa mpaka sheria za kuwalinda hao manyang'au zipo.

Lakini kwa vile Dada mtoa mada ulipigwa mimba na mwarabu kisha akakutelekeza basi hasira zako zote zipo kwao yani kulawitiana mliwitiane nyie tena mpaka makanisani ila uje usingizie warabu.

Teeh teeh teeh.

Amma kweli ukafiri ni nuksi.
Aliposema Allah kwenye Quran n viumbe waso na fikra hawa makufar ..yanajithibitisha
 
Ile ni culture yao hawana haja ya kuruhusu. Kiasilia wako vile.
Unaporuhusu maasi yafanyike hadharani nikusema kuwa unahamasisha hata wasiokuwa na mpango wa kufanyajambo hilo wahamasike,mfano mdogo chukulia madawa ya kulevya yangeruhusiwa kisheria madhara kiasi gani yangetokea?fikiria kama kila mwanaume duniani amuoe mwanaume mwenzie maisha yangekuwaje?hata vizazi visingeendelea.Ni ushetani kuhalalisha maovu.
 
Back
Top Bottom