Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

Hongera kwa kuwajua waarabu vilivyo.
Teeh teeh teeh.

Dada huwezi kuondoa ukweli kwamba wazungu wanapenda mno tena sana huu mchezo.

Lakini kwa vile ni makafiri wenzako wala huoni.

Ebu cheki hapa chini hawa mashoga
_20180120_082050.JPG

Hapo ni kanisani na tazama kwenye back ground ya hiyo picha utaona kisanamu cha bikra maria.

Yaani nyie makafiri mpaka makanisani mnalawitiana achilia mbali kufungishana ndoa.
 
Kama nataka kukuelewa.....ila mi ninavyojua hii hali kuchochewa na tamaduni zao kua wanaamini katika virginity na hua inatunzwa mpaka ndoa ipite Kwa hiyo wanatumia sana back Kwa walio nje handoa na nikama kawaida Kwa wengi wao....wanawake wa kiarabu wanatunza sana virginity ukiona wewe umeshaitoa bass we ni kahaba kule ukahaba usifikir ni kama huku sinza kule hawakai uchi kahaba wa kule ni yule a lie toa virginity yake kabla ya ndoa....nimeishi nchi zao kidogo nawafahamu ubaya na uzuri wao
Kwa hivyo dini imechangia????
 
Teeh teeh teeh.

Dada huwezi kuondoa ukweli kwamba wazungu wanapenda mno tena sana huu mchezo.

Lakini kwa vile ni makafiri wenzako wala huoni.

Ebu cheki hapa chini hawa mashoga
View attachment 680523
Hapo ni kanisani na tazama kwenye back ground ya hiyo picha utaona kisanamu cha bikra maria.

Yaani nyie makafiri mpaka makanisani mnalawitiana achilia mbali kufungishana ndoa.
Tuambie kidogo na kuhusu magaidi.
 
Wana mkaza yaani kama demu anajiuza anafanya biashala kuliko hata mademu mweeepe midomo kapaka rangi kukukalia mapaja haoni shida
 
Wanaume ndio walikuwa wanahitajika zaidi kuliko wanawake. Hivyo basi kutokana na kusafiri muda mrefu kwenye majahazi, historia iliyofichwa inaeleza wale MABWANA walikuwa wanawafanyia vibaya kinyume na maumbile wale watumwa.
Walikuwa waisilamu mnakataa Nini....ndio sababu nastaajabu kumkuta mweusi anajiita muisilamu, hajui uovu aliofanyiwa na watu hawa nyuma ya dini hiyo, kwani hao waleo, wapemba wenye kufanya watoto, sio waisilamu????
Mweusi ni kurudia ibada yako asilia full stop
 
Mkuu safi sana umemtoa kwnye njia. yan kuna watu ukiwataja waarabu akili zao automatically zinaswitch to muslims....poor minded people
Walikuwa waisilamu mnakataa Nini....ndio sababu nastaajabu kumkuta mweusi anajiita muisilamu, hajui uovu aliofanyiwa na watu hawa nyuma ya dini hiyo, kwani hao waleo, wapemba wenye kufanya watoto, sio waisilamu????
Mweusi ni kurudia ibada yako asilia full stop
 
Walikuwa waisilamu mnakataa Nini....ndio sababu nastaajabu kumkuta mweusi anajiita muisilamu, hajui uovu aliofanyiwa na watu hawa nyuma ya dini hiyo, kwani hao waleo, wapemba wenye kufanya watoto, sio waisilamu????
Mweusi ni kurudia ibada yako asilia full stop
Ibada ya asili ikoje? Tupe muongozo
 
Teeh teeh teeh.

Dada huwezi kuondoa ukweli kwamba wazungu wanapenda mno tena sana huu mchezo.

Lakini kwa vile ni makafiri wenzako wala huoni.

Ebu cheki hapa chini hawa mashoga
View attachment 680523
Hapo ni kanisani na tazama kwenye back ground ya hiyo picha utaona kisanamu cha bikra maria.

Yaani nyie makafiri mpaka makanisani mnalawitiana achilia mbali kufungishana ndoa.
Waarabu ni mashoga wakubwa na mafirauni wanatutia aibu
 
Back
Top Bottom