Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

Kwa utafiti wangu watu wengi ni mashoga, ila suala ni kuelewa hiki na chokifana au ninavyo jisikia ni ushoga? hilo ndilo swali la msingi.Mikoani hata viijini mashg wapo nikiwa na maana wale wanaume wanaowafanya wanaume wenzao ,hao wapo wengi sana ila hawajijui kama ni wanahisia za mapenzi kwa wanaume wenzao .unweza kuta mwanaume katoka kijijini na anaonekana kama hajui lolote , akini ale utakapo mwazisha masuala haya ana fanya kama mzoefu. suala ni media ndio zinazo wafanya watu watambue kwamba ni mashoga na pia media ndio zinazo wapa wazo kwamba ni sio jambo la ajabu tena na kwamba watu wana fanya haya kama kawaida tuu .
Wanaume wenye kufanya wenzao wanaitwa mabasha
Wako wanaume wanafanya na kufanywa, hawa wanaitwa mchicha mwiba
Kumbuka viko vigezo vinavyo weza kuchangia kushamiri kwa tabia yoyote, kustawi, na ndio wako ambao hawakuwa na tabia hii lakini wakarubuniwa na kujikuta humo,na usisaga wala wanawake wenye kugonganisha vibuyu
Yote ni mapenzi yajinsia moja
 
Asante, hulka ni hulka Tu, kama, uongo, uchawi, dharau, ni Tabia tu...
Sija kupata vizuri ila ushoga ni hali ya kuzaliwa nayo na wengi hujijua toka watoto na huficha hizo hisia na sio suala kuiga ,anaye onekana kaiga ni kwamba ni shoga teari ila kapata kitu cha kumchochea kufanya kile kitu anacho kitamani siku zote.
Kuna aina mbili ya haya masuala ya kishoga, kuna shoga yule aliye zaliwa hivyo na kuna yule anaye amua kufanya vitedo vya kishoga wakati sio shoga.
Huyu anye fanya vitendo hivi ni yule anaye fanya kwa sababu ya pesa , kwa mfano , kijana mzuri amabye yeye ni mwanaume aliye kamilika, kutokana na kuvutia kwake , ana toke mwanaume ambaye ni shoga ana mtongoza , kwa kawida huyu mwnaume hata kubali, kinacho fanyika ni mwanaume huyo kutumia pesa , huyo kijana ana wea kua n matatizo ya kiuchumi au ni kijana anayependa mambo mazuri na uwezo hana, hapo ndioo mtego humuingi na kujistukia kafanya vitendo vya ushoga, baada ya hapo na weza endeleza kwa vile hakuona ni tabu siku ya kwanza kufanya na wanaume hawa mara nyingi wao ndio wanao ingiliwa , kwa sababu kumuingilia mwanaume mwenake hawezi sababu hawezi kupata hisia. Kwenye hili fano mzuri ule usemi wa kwamba ma bouncer wengi hawana marinda, sababu wengi wao ni straight hivyo husindw waingilia wale mashoga wanao ingiliw ana kuingilia , huvyo hupandishiwa dau na kujikuta wanaingiliwa wao na baada ya hapo wanaona kama ni suala la kisiri basi wataendeel na suala hilo , lakini katika asilia yao wao so mashoga ila wana fanya vitendo vya kishoga .
Wanao bakia wote ni mashoga, mwanaume yoyote anaye weza simamisha umme kwa mwanaume mwenzake ni shoga , sasa hawa ndio wako wengi nao ,hawa ao wame gawanyika katika makundi mawili.
Kundi la kwanza ni wale mashoga ambao wao wanafanya na wtu wajinsia zao , hawa ndio wale mashoga 100% ambao pia wapo huingiliwa na wengi huingilia na huingiliwa hawa ndio wanao julikana sana.
Kundi la pili ni wale ambao hufanya mapenzi na jinsia zote yani wanaume na wanawake ,kundi hili ndio nao kubwa sana na ndio ambazo lina pinga ushoga ,sababu kubwa ya kuoinga ushoga ni kwamba wao wana weza chagua walale na nani , mfano , kama yuko kwenye jamii ambayo ni kali sana kw avitendo vya kishoga wao huweza amua sitaki kuwa shoga nataka kuwa straight , hivyo huweza cha vitenda hivyo na huw wakali sana wakiona vitendo hivyo sababu kubwa ni kwamba , kama wao wameacha ingawa bado wana tamani na kuendelea kufanya mapenzi na jijzia nyingine kwa nini wewe ushindwe bila kutambua kwamba wako mashoga ambao hawan hisia kabisa na jinsia nyingine aidi ya jinsia zao
katika hitimisho ni kwamba, haki ya ushoga kukithiri sio kuiga ni kwamba watu wanapewa information za kutosha kupitia media kwamba ni sawa kuwa ulivyo ndio sababu kubwa ya wengi kuamua kutoka walipo jificha na kuanza fanya hayo, sio kuiga ni masuala ya kiuchumi , tamaaa na uhalisia wa mtu.
 
Hiki ni kitendo cha siri,baina anayetendewa na snayetenda,sio kitendo cha kufanyika hadharani,au watu wakaingia kwa kiingilio,kama soka au mziki.Ukiona mtu anakitaja sana kitendo hiki,na kukinasibisha na kabila fulani, ujuwe huyo alishafanyiwa na mtu mmoja,wa kabila hilo,kwa hiyo akili yake yote,ajua ni kabila lote,linafanya hivyo.
Mabaya husemwa, watu wana wajua wachawi, haimaanishi wao ni wachawi
 
Wanaume wenye kufanya wenzao wanaitwa mabasha
Wako wanaume wanafanya na kufanywa, hawa wanaitwa mchicha mwiba
Kumbuka viko vigezo vinavyo weza kuchangia kushamiri kwa tabia yoyote, kustawi, na ndio wako ambao hawakuwa na tabia hii lakini wakarubuniwa na kujikuta humo,na usisaga wala wanawake wenye kugonganisha vibuyu
Yote ni mapenzi yajinsia moja

Kwa gays ni ina tafsiriwa kwama hivi
Gay Bottom - Ms*nge baridi
Gay Top - Basha
Gay Versatile - Mchicha mwiba , ana ingilia na anaingiliwa
Bisexual Top - Anafanya na wana wake na wanaume ila ana ingilia tuu
Bisexual Bottm - Anafanya na wanawake na wanaume ila akiwa na mwanaume yeye ana ingiliwa tuu haingilii.
Bisexual versatile -Anafanya na wana ake na wanaume ila aliwa na mwanaume ana ingilia na kuingiliwa

Suala kubwa hapo ni kwa hao bisexuals ambao kitaalamu ina sema kwamba ndio wako wengi duniani na hawa ndio wengi huweza jificha kutokana na tamaduni na ima ni husika za dini za eneo husika
 
Watujuza makubwa asantA
 
Walikuwa waisilamu mnakataa Nini....ndio sababu nastaajabu kumkuta mweusi anajiita muisilamu, hajui uovu aliofanyiwa na watu hawa nyuma ya dini hiyo, kwani hao waleo, wapemba wenye kufanya watoto, sio waisilamu????
Mweusi ni kurudia ibada yako asilia full stop
Uislamu unasemaje kuhusu wanaume kumuingilia mwanaume mwenzie ? Hukumu ya kiislamu kwa mujibu wa mafundisho ya mtume ni kuwa anaefanya hilo tendo ni KUPIGWA MAWE MPAKA AFE ,sasa ww unaunasibishaje uislamu na uovu ,hata kama wangekuwa waarabu ndo tabia yao japo siamini hiyo ingebaki kuwa tabia ya waarabu na sio Uislamu ,
Museven alipigwa mikwara na nchi za magharibi(kikristo) baada ya kupinga ndoa za jinsia moja

Kuna baadhi ya makanisa yanabariki ufungwaji wa ndoa ya mashoga lakini huwezi kuta sheikh anahusika katika huo umaalun
VATICAN HAISHI KASHFA KUTWA MAPADRI WANAWAFANYA NYUMA WATOTO WADOGO WAKIUME ,MMEWAHARIBU SANA WATOTO WASIO NA HATIA NI UDHAALIMU WA HALI YA JUU MNAFANYA ,HALAFU NDO WAKWANZA KUPINDISHA STORY MNAFANYA MABAYA KUPITILIZA NA MNAYAFICHA HALAFU MNAKENUA MIDOMO KWA UONGO NA UZUSHI JUU YA UISLAMU,
KUTWA KUZUA UONGO MXCUUUUU
 
Dawa Ni kurejea Imani asilia full stop
 
Ushoga unalindwa na sharia sababu ni moja tuu, waxungu wame elew kwamba ushoga ni asili ya mtu na binadamu wengi ni mashoga ila wana ficha , wakamua kuwalinda hao wanaofanya ushoga .Urabuni na kwingine kote ushoga upo na una endelea kama kawida kisiri sirina mara nyingine nyngi wazi wazi
Arabuni upo ushoga sana tena lakini unafanywa kwa siri na ni aibu ukijulikana unafanya ushoga. Lakini tuzungumzie hawa wazungu ambao wameupenda sana na kuamua kuufanya uwe halali kisheria kiserikali mpaka kwenye dini yao kiasi kwamba wanafungisha ndoa ndani ya makanisa na padre na makasisi wakifungisha hizo ndoa. Lakini cha kuustajabisha hapa Tanzania anaelalamikiwa ni mwarabu
 
Ni laana na ugonjwa na umetoweka kabisa
 
Arabuni upo ushoga sana tena lakini unafanywa kwa siri na ni aibu ukijulikana unafanya ushoga. Lakini tuzungumzie hawa wazungu ambao wameupenda sana na kuamua kuufanya uwe halali kisheria kiserikali mpaka kwenye dini yao kiasi kwamba wanafungisha ndoa ndani ya makanisa na padre na makasisi wakifungisha hizo ndoa. Lakini cha kuustajabisha hapa Tanzania anaelalamikiwa ni mwarabu
Ulaya wazungu, bongo wakina fulani!!!!!
 
Back
Top Bottom