Fantasia
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 1,071
- 834
Sio mwarabu wala mzungu, ubaya haina kwaoWazungu pia wamepelekewa ushofa na warabu?
Ama kweli vyuma vimekaza hadi kufikiri mnashindwa, mkishazowea mdebwedo kupitia vikundi vyenu jamaa yenu anaonekana kupuuza ndio maana mnazidisha chuki kwa wenzenu