Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

hata dar Mwarabu alikaa..ndiye aliyetoa jina LA dar es salaam..pia Dubai na saudia ni nyumbani kwa Mwarabu..sasa sijui panalingana na njombe au ndanda-mtwara alikokaa mzungu
dar imejengw 100% na wageni sio wenyeji
Dubai n centre ya dunia pana mchanganyiko wa watu wengi lazma pachangamke
mwarabu han elimu KBS hakuna teknolojia yyote imegunduliwa na mwarabu
 
Sehem gani mzungu alikaa na halafu pakawa na utajiri,Mtwara ,Lindi kote huko palitengwa na hao washenzi bwana zako wazungu
nimesema sehemu alizokaa mzungu alijenga miundombnu kadhaa kama shule Hosp nk sasa hii mishemz miarabu yenyewe ilikuwa inabaka ndgu zetu tu na biashara ya utumwa mijinga sana
 
dar imejengw 100% na wageni sio wenyeji
Dubai n centre ya dunia pana mchanganyiko wa watu wengi lazma pachangamke
mwarabu han elimu KBS hakuna teknolojia yyote imegunduliwa na mwarabu
Unakosea ndugu, waarabu wako fiti ile mbaya, wao ndiowalitia chachu yamapinduzi ya sayansi, kupitia renaissance
Ma scholar wa kiarabu wamefanya mengi mno ndugu,mengi sana, akina Ibn Khaldoun, na Al Beiruni
 
wamefanya nn?
mwarabu na elimu wapi na wap
 
Mke wa rais wa nchi ya Luxembourg iliyopo Ulaya ni mwanaume mwenzake
Sasa unaondelea nini?
 
dar imejengw 100% na wageni sio wenyeji
Dubai n centre ya dunia pana mchanganyiko wa watu wengi lazma pachangamke
mwarabu han elimu KBS hakuna teknolojia yyote imegunduliwa na mwarabu
hao wenyeji si wangejenga kwao..saudia mbona hujatolea maelezo?..utajilinganisha wewe na Kuwait,Oman,saudia?..kati ya Kuwait na moshi alikokaa mzungu au kwenu mbinga wapi pana maendeleo?
 
mwarabu hana elimu yyote
hata hii simu unayotumia n zao LA mzungu mwarabu anajua nn zaidi ya kufuga madevu?
Steve jobs ni Mwarabu wa Syria,aliegundua dry cell ni nani?..jina chemistry lina asili gani?aljebra ni jina LA wapi?..aliyefanya calculation ya umbali toka duniani had mwezini ni nani?
 
hao wenyeji si wangejenga kwao..saudia mbona hujatolea maelezo?..utajilinganisha wewe na Kuwait,Oman,saudia?..kati ya Kuwait na moshi alikokaa mzungu au kwenu mbinga wapi pana maendeleo?
nimesema sehemu alizotawala mwarabu enzi za ukoloni MBNA huelewi?
kuhusu Kuwait,Qatar n mafuta yamewabeba wasingekuwa na mafuta wangekuwa mafala vibaya
miarabu haina elimu KBS hata kule kwao wataalamu mbalimbali kama ma enginer,nk wanakodi kutoka sehemu zngine maana miarabu haijaenda shule
 
Steve jobs ni Mwarabu wa Syria,aliegundua dry cell ni nani?..jina chemistry lina asili gani?aljebra ni jina LA wapi?..aliyefanya calculation ya umbali toka duniani had mwezini ni nani?
Hebu weleweshe kusweke
Aliyepima nusu kipenyo ya dunia ni nani? Kitabu cha kwanza cha matibabu kiliandikwa wapi na nani? Na aliyeandika kazi kubwaya elimu ya nyota,iliyotoa kiongozo na kielelezo dunia ya kale hadi sasa ni ni nani, ndio wale wale, kwao historia ya dunia imeanzia karne ya 8 baada ya kuzaliwa kristo, kumbe dunia ilikuwepo, na watu wamefanya mambo kibao, maelfu ya miaka kabla kuzaliwa Yesu
 
Tatizo mjada!a umeshawatuhumu waarabu tayari,haina mizani,avumaye baharini......papa....kumbe........!
 
Mtaishia kutuhumu akina Fulani,kumbe nanyie mnafanya,badala ya kuchekecha nini suluhisho.....!!!???
 
Wakati mkiendelea kulumbana kuhusu ipi ni dini sahihi mkumbuke pia hili janga la Ushoga halichagui dini, Kabila, Rangi, Tajiri au Maskini! !! Hili ni letu sote! Kizazi chetu na vizazi vijavyo vitapukutika kama mavumbi kwenye upepo mkali, tukizubaa hakuna atakae bakia! !

Tumeshawekewa sumu kwenye chakula badala ya kutatua tatizo tuko busy kunyoosheana mavidole tu!

***Imagine your son/daughter growing up in such a filthy place jamani?!?! Muumba atuepushe! !
 
Back
Top Bottom