Simalenga mwandishi wa habari? mmhBaada ya kuendelea kusikiliza kipindi hili cha leo trh 27/01/2014.
Kuna mtu anaitwa simalenga ametambulishwa kama mwandishi wa habari.
Mwana habari huyu anasema tume imelazimisha serikali 3 na si mawazo ya watz,
Anasema watu laki tatu hawakustahili kuamua juu ya katiba,
Anadai baadhi wajumbe wa tume ya katiba walikuwa wana G55 ameambiwa awataje ameshindwa
Mtazamo wangu, UAMDISHI WA HABARI INATAKIWA KUWA NA WATU WENYE DIVERSITY OF PROFESSION, nafikiri hoja ya kipindi ingepata mwandishi wa habari ambaye ana taaluma ya sheria/historia/au hata uchumi ua hata fani nyingine angeweza kuleta changamoto za maana.
NI VYEMA PIA WAANDAAJI WA VIPINDI KUALIKA WATU WENYE UJASIRI BILA KUONGEA KWA HOFU NA HISIA TU.
NAWAKILISHA KIZALENDO
Mkuu Punjabi, pole sana!. Politics is my area of specialization, hivyo endelea kujifariji!.Pasco is the other one! Teh teh
Sidhani Kama ni Kweli ila Nionavyo tu ni Kwamba hatuna Competent Journalists Japo Kielimu Wanaweza Wakawa Wana Elimu Kubwa tu tena hata Kushinda Ya Kwako. Kwa Mfano huyo Dotto Bulendu alikuwa Mbele Yangu Chuo Kikuu chetu Kile cha Papa Francis Kanda Ya Ziwa na Sasa ana Masters Yake na Kama Sijakosea Simalenga Alimaliza Diploma Yake Ya Habari DSJ ambapo hata Mke Wake alikuwa ni Mwanafunzi Mwenzake hapo hapo DSJ Chuoni na Sasa Anasoma Shahada Yake Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere. Elimu Wanazo tena Nzuri tu ILA TATIZO KUBWA LA WAANDISHI WETU WENGI WA HABARI TANZANIA HAWASOMI ISSUES MBALIMBALI, HAWAWEZI KUCHAMBUA MADA na WALICHOKALIA NI UMBEA na UZUSHI NA WANADHANI KUWA NA VYETI PEKEE NDIYO UANDISHI WA HABARI. Specialisation inatakiwa sana Kwa Waandishi Wetu Lakini pia Kuna Matatizo Makubwa Sana ktk Vyuo Vyao Kuanzia Wakufunzi Wao, Vitendea Kazi na Haswa Mazingira Ya Kusoma na Pia Ipo Haja Journalism Nayo iwe na Chombo Maalum cha Ku Screen Waandishi Kama ilivyo Kwa Fani za Sheria, Uhasibu na Madaktari ili Kabla Hawajaanza Kazi basi Wawe Wameshachujwa Vya Kutosha. Mwisho hata Huku Kuajiriwa Kwa Kujuana au Kwa Rushwa Ya Ngono Napo Kunaiponza Fani hiyo! Chuoni Mwanafunzi Anahonga Penzi Kwa Mwalimu au Anatoa Pesa Ananunua Paper au Cheti na Hapo Hapo tena Akitafuta Kazi napo Mziki ni huo huo wa Kuhonga Kwa Pesa au Ngono Je Mnategemea Nini hapo? Bado Safari ni Ndefu Sana na Inasikitisha!!!!!!!
jamaa kapwaya vibaya mimi nilidhani labda mimi ndio mwenye matatizo ya kumuelewa huyo jamaa.
kumbe yeye ndio haeleweki?
Jeneral katuletea mtu asie jiweza kabisa
Naangalia kipindi cha Jenerali Ulimwengu sasa hivi na mgeni leo ni Simon Simalenga ambaye ni mwanahabari (Producer wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM).
Kipindi cha leo kinahusu rasimu ya pili ya katiba. Simalenga nashangaa kwanini alienda kwenye kipindi wakati anapwaya sana kwenye suala hili la katiba.
Jamaa kila swali analoulizwa anaweweseka kujibu kiasi ambacho mzee Jenerali inabidi aanze kumuelimisha.
Huyu jamaa amezoea kule clouds fm utani mwingi akajua ataweza kuchambua masuala ya katiba.
Leo mzee Ulimwengu umetuletea boya katika kipindi chako.
Jamaa kachemka mbaya hadi nikamuonea huruma....Huenda huyu ni kielelezo cha wanahabari waliojaa nchini!
Pasco unaamanisha huyu kilaza simalenga ni mtoto kiumli au mtoto kwenye tasnia nzima ya habari? nimecheke sana mnavyoanza kukimbianaMkuu Punjabi, pole sana!. Politics is my area of specialization, hivyo endelea kujifariji!.
Najua hizi ni hasira za jinsi nilivyotoa siri za amasikini uliotopea wa mababu zenu, na jinsi baba zenu wa wa lowest caste kule kwenu, walivyoponea kwa kuletwa nchini kama makuli wa kujenga reli, ndipo mkatoka na nyinyi kuzaliwa huku mkujidai huku tuu, lakini ndani ya miyo yenu ni wabaguzi wakuu!.
Usiendelee kukakisirika, pia si niliwasifu mna bidii sana, na ni waaminifu?!, Sasa hasira za nini kunilinganisha na watoto wa juzi?.
Please be fair to me!.
Pasco
Huyo Simalenga nadhani hoja aliyokwenda kuijadili inampwaya sana. Maana kila alichokuwa anaongea kilikuwa ni cha kufikirika zaidi na sio uhalisia. Jana Jenerali ndio akawa mtoa mada jamaa akabaki na kuongea mambo kwa jumla jumla tu.Naangalia kipindi cha Jenerali Ulimwengu sasa hivi na mgeni leo ni Simon Simalenga ambaye ni mwanahabari (Producer wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM).
Kipindi cha leo kinahusu rasimu ya pili ya katiba. Simalenga nashangaa kwanini alienda kwenye kipindi wakati anapwaya sana kwenye suala hili la katiba.
Jamaa kila swali analoulizwa anaweweseka kujibu kiasi ambacho mzee Jenerali inabidi aanze kumuelimisha.
Huyu jamaa amezoea kule clouds fm utani mwingi akajua ataweza kuchambua masuala ya katiba.
Leo mzee Ulimwengu umetuletea boya katika kipindi chako.
Mkuu Mzee wa Rock, japo jina lako ni Mzee, ila na wewe pia utakuwa ni hawa hawa wa juzi, kwanza sio haki kumuita Simalenga ni kilaza, this is the brain behind the most popular radio series kwa sasa, Jahazi la Clouds .FM, namfahamu tang akiwa na kina Ray na Kanumba kwenye drama, hivyo kutobobea katika siasa sio kilaza.Pasco unaamanisha huyu kilaza simalenga ni mtoto kiumli au mtoto kwenye tasnia nzima ya habari? nimecheke sana mnavyoanza kukimbiana
Mkuu Mzee wa Rock, japo jina lako ni Mzee, ila na wewe pia utakuwa ni hawa hawa wa juzi, kwanza sio haki kumuita Simalenga ni kilaza, this is the brain behind the most popular radio series kwa sasa, Jahazi la Clouds .FM, namfahamu tang akiwa na kina Ray na Kanumba kwenye drama, hivyo kutobobea katika siasa sio kilaza.
Kwa wale wa zamani, ukikitaja kipindi cha Kitimoto, wanalielewa jina la Pasco, ulizia ni kipindi gani kilichopo sasa chenye level ile. Nimesema asinilinganishe mimi na vijana wa Leo kwa jinsi ile huwezi kuilinga RTD na Clouds FM au TBC na TV, that was then, tulikuwa wazuri kwa wakati wetu, sasa hawa vijana wa Leo ni wazuri kwa wakati wao. Ni sawa kumlinganisha Zahir Zorro na Banana Zorro, enzi za Zahir , alikuwa Zahir sasa hizi ni enzi za Banana!. Enzi za RTD zimepita sasa hizi ni enzi za Clouds FM!.
Usilinganishe !.
Pasco
Kitu cha kujadiliana hapa ni kwamba akihitimisa alisema hivi kama wabunge wa bunge la katiba watalazimisha serikali tatu yeye atakuwa wa kwanza kuhamasisha vijana kuikataa na kubaki kwenye serikal mbili
Tayari na msimamo nisikai mbili
Anapotosha umma kwa mausudi anasema tume iliweka mawazo yake hakuna mtanzania aliulizwa kuhusu serikali tatu, hii spinning ni kwa manufaa ya nani
Anasema G55 ndio wajumbe wa tume
watanzana wenzangu hiz propaganda zimeanza ukweli tuwe naplan B maana hakuna katiba mpya kwa sasa tujiuize
Namna ya kuboresha na Lazima kuwa na tume huru ya uchaguzi
Namna ya kusjaili na kuwa na datary jipya a wapiga kura mane tulilonao limechakachuliwa mno
Naangalia kipindi cha Jenerali Ulimwengu sasa hivi na mgeni leo ni Simon Simalenga ambaye ni mwanahabari (Producer wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM).
Kipindi cha leo kinahusu rasimu ya pili ya katiba. Simalenga nashangaa kwanini alienda kwenye kipindi wakati anapwaya sana kwenye suala hili la katiba.
Jamaa kila swali analoulizwa anaweweseka kujibu kiasi ambacho mzee Jenerali inabidi aanze kumuelimisha.
Huyu jamaa amezoea kule clouds fm utani mwingi akajua ataweza kuchambua masuala ya katiba.
Leo mzee Ulimwengu umetuletea boya katika kipindi chako.