white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,880
Dogo amebanwa mbavu macho yamemtoka. Nimemwonea huruma. Akome asirudie tena. Anadhani hapo ni kaole.
Kweli huyo jamaa hata kuja kusahau!!!awa achie wakina MKINGA.
Dogo amebanwa mbavu macho yamemtoka. Nimemwonea huruma. Akome asirudie tena. Anadhani hapo ni kaole.
Stat tv kuna mjadala unaendelea kuhusu katiba mpya yuko Dotto Bulendu fuatilieni...
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Kweli huyo jamaa hata kuja kusahau!!!awa achie wakina MKINGA.
Jamaa kachemka mbaya hadi nikamuonea huruma....Huenda huyu ni kielelezo cha wanahabari waliojaa nchini!
Naangalia kipindi cha Jenerali Ulimwengu sasa hivi na mgeni leo ni Simon Simalenga ambaye ni mwanahabari (Producer wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM).
Kipindi cha leo kinahusu rasimu ya pili ya katiba. Simalenga nashangaa kwanini alienda kwenye kipindi wakati anapwaya sana kwenye suala hili la katiba.
Jamaa kila swali analoulizwa anaweweseka kujibu kiasi ambacho mzee Jenerali inabidi aanze kumuelimisha.
Huyu jamaa amezoea kule clouds fm utani mwingi akajua ataweza kuchambua masuala ya katiba.
Leo mzee Ulimwengu umetuletea boya katika kipindi chako.
Huyo jamaa alikuwepo kwenye kipindi cha malumbano ya hoja akaongea pumba zake moja ninayokimbuka eti kila rais atakuwa na maamuzi na jeshi lake kwahyo rais wa Tanzania hatakuwa na jeshi bali ni marais wa Tanganyika na Zanzibar,maana alionesha dhahiri draft ya katiba hata haijui maana kwenye suala la Muungano Rais wa Tz atakuwa na mamlaka kwenye ulinzi.
Nasikia jamaa ni kiongozi wa chuo cha mwlmu Nyerere, jamaa anakidhalilisha chuo kabisa maana sidhani kama ana elimu ya uraia hata ya la 4 B.
Utakuta jamaa yupo chumba cha habari ya hiyo radio na wanamuminia ile mbaya.
huyu jamaa kilaza sana kutoka clouds media, nasikia eti ndo mrithi wa bi makinda 2015.
Hv iki kipindi kina marudio siku za weekend,maana mmeponda mpaka nimecheka usiku huu .