Brooklyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 1,459
- 284
Naangalia kipindi cha Jenerali Ulimwengu sasa hivi na mgeni leo ni Simon Simalenga ambaye ni mwanahabari (Producer wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM).
Kipindi cha leo kinahusu rasimu ya pili ya katiba. Simalenga nashangaa kwanini alienda kwenye kipindi wakati anapwaya sana kwenye suala hili la katiba.
Jamaa kila swali analoulizwa anaweweseka kujibu kiasi ambacho mzee Jenerali inabidi aanze kumuelimisha.
Huyu jamaa amezoea kule clouds fm utani mwingi akajua ataweza kuchambua masuala ya katiba.
Leo mzee Ulimwengu umetuletea boya katika kipindi chako.