Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni
Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na asipotaka kuchanja, sawa!
Ikiwa ni kweli, Mh sipika anao huo mpango wa kuweka zuio la wabunge kutokuingia bungeni wale wasiochanjwa, ni kuingilia mhimili wa Uraisi ambapo yeye ndiye mwenye wananchi wote akiwemo yeye sipika pia ni kutengua kauli ya mh Raisi ambayo ni sheria,
Kama ndivyo hivyo, basi Mh Rais atengue kauli yake aseme chanjo ni lazima
Kama sivyo, Sipika tutamburuza mahakamani