Changia thread

Mwita25 tangu uhame chama makini naona umekuwa affected.
 
Hatujazaliwa tuwe ndugu wala wala hatujazaliwa tuwe maadui,lakini tumezaliwa ili tupendane,tukumbukane,tuombeane heri na mafanikio,tusameheane na kusaidiana,wikend njema.
 
Hatujazaliwa tuwe ndugu wala wala hatujazaliwa tuwe maadui,lakini tumezaliwa ili tupendane,tukumbukane,tuombeane heri na mafanikio,tusameheane na kusaidiana,wikend njema.

Huu ndiyo mchango mkubwa kuliko yote
 
Kitunguu swaumu ni dawa nzuri kwa magonjwa mengi tu, wahenga wamekuwa wakitumia kitunguu swaumu kujitibu toka enzi na enzi.
Kitunguu swaumu kikiliwa kibichi huongeza nguvu za kiume na humpatia mlaji hamu ya kufanya tendo la ndoa.
Kitunguu swaumu, tangawizi na kiasi kidogo cha papai bichi vikiwekwa katika nyama nyekundu, nyama hiyo huiva vizuri na bakteria waliomo ndani yake hufa bila shida.

wewe nae umetia futuhi kabisa..
 
jamani Babu, kwanza Shikamoo,

Halafu kwani nimetaja hapo Gamba au Gwanda?

BTW: Bado niko kwa tuition ya Lugha
Naomba uwe mjukuu wangu. Naona ushaanza kuniita babu kabla hatujaombana.
 
Naomba uwe mjukuu wangu. Naona ushaanza kuniita babu kabla hatujaombana.

heheheeeee, mh...! kumbe huwa kuna kuomba?

Mie nimefuata taratibu za wenyeji nliowakuta

Nkajua BABU ni mwenye wajukuu,

Kumbe wapo wa jukuu wa hiari pia?

Asante kwa kunijuza, tuanze basi hizo taratibu za kuombana, LOL
 
Orayt.......subiri watu wakilog out ntakupa taratibu. au kama vipi twenzetu PM.
 
Mpwa vipi naona kitu umekipost saa sita usiku na hadi sasa bado upo hewani, duh, haya MUNGU akupatie weekend yenye baraka tele, ndimi Mpwao Elli
 
Back
Top Bottom