Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Bila kurahau Anakaa hadi kwenye mbuyi anakuna nazi, anaonja chumvi !!
 
Ma sinior bachelor waki oa ndoa zao zinakuwa stable kwa sababu hawana mambo mengi na focus yao ni kujenga familia.
Wanajua na wanaweza kuzikabili Changamoto za maisha.
Wana uvumilivu wa hali ya juu hususani kwenye kashikashi za mahusiano kwa sababu wameshapitia mengi huko nyuma.
Nawakumbusha vijana kwamba wasiowe kwa mihemko kwa sababu "ninge" huja mwisho wa safari
 
This is very true.
Thank you for sharing mkuu.
 
Kinyume chake wengi wanasema mpaka umri huu hujaoa kuna tatizo mahali
 
Tena unakuta ule mda unaitaka kupumzika ndio anakuchokonoachokonoa. Ilisha nikuta sana hii
 
4. Senior bachelor's tumeshazoea that privacy, na vitu ndani ya nyumba viko katika sehemu sahihi, sasa baadhi ya wanawake wanakuja na issue Za kuosha vyombo vya breakfast pamoja na vya lunch, naona kama mwanamke kaja kusaidia mende kuzaliana
Kwa zaidi ya miaka 6 sasa sijawahi kupija. Ndani kwangu utakuta kikombe kimoja na kijiko kimoja tu. Tena kikombe chenyewe kimevunjika juzi. Hii no dawa tosha ya hao wanaojidai wanakuja kuosha vyombo. Ama wale wanaosema we nenda kazini utanikuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23] wewe legendary mkuu!
 
Mimi nadhani mdada akigonga 30 tayari tumuite "senior spinster"!! Manake kama kidume kikigonga 36 ni senior, basi 6yrs difference mi sawa kabisa kumuita mdada senior [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…