Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Hahaha kama huna kitu basi uko safe in my view.

Safe kuwa utakataliwa hasa, ila atakayekukubali atakukubali kwa vision na character yako!!!
Very good point.
 
changamoto kubwa kwangu mimi nimezoea kuishi mwenyewe, akija manzi tu gettoh akikaa week namchoka sababu kwanza nikipanga ratiba zangu muhimu nimzingatie na yeye, yaan mfano mda wa kurudi home, pia mara nyingi nikiwa home nahitaji kupumzika zaidi kuliko kuongea hii ni changamoto zaidi maana ukiwepo nyumban anataka story zaidi, Mungu anisaidie anibadilishe, maana pia nimekua mkosoaji mkubwa
mwambie acheki katuni aongee mwenyewe
 
Kuoa ni ISSUE nyingine tena tutafutiwe shule kwenda kusomea..sio simpo simpo ivyooo Level ya uvumilivu kwenye ndoa inatakiwa ivuke 100% sasa level hiyo bila kurudishwa mashuleni kufundishwa sidhani kama tutatoboa,au ndo tuoe tukae mwaka tuachane?

Bila shule kuoa uwe na kipaji chakuoa...by Age of 36 ntakua tayari nina kids wangu 12 watakapotokea mimi sijui ila SIOI...HAZINA YANGU NI WATOTO tu...ndoa na inipitie mbali mimi kujitia kitanzi natakaga mimi sasa!
hilo fundisho la wapi sio mpango wa Mungu
 
Hahaha kama huna kitu basi uko safe in my view.

Safe kuwa utakataliwa hasa, ila atakayekukubali atakukubali kwa vision na character yako!!!
What if akakukubali kwa sababu the clock is ticking? Imagine upo 40yrs unatafuta mtu, unakutana na dada 32yrs yupo desperate, ni shida mkuu. Yaani kutafuta mtu wa kuoa umri ukishaenda ni mtihani mkubwa mno, ukiwa financially free utapata tabu na ukiwa huna pia utapata shida.
 
PRONDO:
Kuna sehemu umesema,

"Wewe una 60 mtoto ana 37,lazima ugongewe".

Inategemea na mtindo wa maisha uliyoishi.Kuna mzee mmoja namfahamu ana miaka 72 ana wake watatu,mke wake wa tatu ana miaka 25.
Na huwa anashangaa vijana wanaolalamika kuhusu nguvu za kiume.Anaamini hakuna dawa ya nguvu za kiume na huo ugonjwa haupo kama ulizaliwa timamu.Anashangaa kijana wa miaka 27 analalamika nguvu za kiume na kutafuta dawa.

Anakwambia hata mke wake mdogo anamtambua vizuri.Anapiga goli 3+ hata ukimuona yuko vizuri ni mkakamavu.Tatizo ni vyakula na mapombe ndio vinatusumbua vijana.
 
4. Senior bachelor's tumeshazoea that privacy, na vitu ndani ya nyumba viko katika sehemu sahihi, sasa baadhi ya wanawake wanakuja na issue Za kuosha vyombo vya breakfast pamoja na vya lunch, naona kama mwanamke kaja kusaidia mende kuzaliana
 
Ma senior Bachelor nawaombea kwa Mungu mwaka huu afungue milango ya kuoa na kuolewa muondokane na hiyo adha jamani.Unajua muda mwingine unaweza ukawa umefanikiwa kwenye kila nyanja kiroho,kiuchumi na kiakili ila shetan anakua anakuchezesha au kukufunga kwenye mahusiano ili ufel tu hivyo vingine.Tusichoke kusubiri ila cha muhimu tunatakiwa kuwa na utayari kutoka ndani,sio kujilazimisha.
 
Ukiwa bachelor jamii inakuchukulia kama mchoyo,usiyeweza kutulia na mpenzi mmoja(malaya), mwenye matatizo kwenye mfumo wa uzazi(mgumba) na mshirikina hasa kama una mali(mchawi)...vijana oeni kuwa bachelor ni sawa na kujitia msongo wa mawazo mwenyewe oeni bhana alaaaa...!
 
4. Senior bachelor's tumeshazoea that privacy, na vitu ndani ya nyumba viko katika sehemu sahihi, sasa baadhi ya wanawake wanakuja na issue Za kuosha vyombo vya breakfast pamoja na vya lunch, naona kama mwanamke kaja kusaidia mende kuzaliana
Ubinafsi huu.
 
Back
Top Bottom