Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
There you go...au kuna admin ananibania😀 😀 😀 mbona aijafungwa
There you go...au kuna admin ananibania😀 😀 😀 mbona aijafungwa
Hongera HOD at QUOTE]
Asante. Nimechoka kutolewa mifano na maswali ya unaoa lini. Sometimes mtu huaminiki kisa hujaoa.
Mi nilioa 38 yrs, mambo safi tu, ila nilichoona inabidi Mungu akujalie upate mtoto mapema, kuhusu kwichikwichi bado stimu ipo sana tu, Ila tatizo ukiooa wife hajaenda shule yaani wa kiule nyumbiiibombiiii ndio utakoma ubishi. Wanawake wasiosoma hawana ile kujali muda kwamba kila jambo linafanyika kwa wakati, labda umuelimishe au utumie ukali kidogo utakuta amekuja jamaa yake wanapiga store, we unasubiri chai baada ya store anamsindikiza na anaweza kusahau kama aliacha mtu anasubiri chai36yrs
Akizaa na kuachwa.Hivi wanawake akili zinakuwa wakizaa?
MmmmPRONDO:
Kuna sehemu umesema,
"Wewe una 60 mtoto ana 37,lazima ugongewe".
Inategemea na mtindo wa maisha uliyoishi.Kuna mzee mmoja namfahamu ana miaka 72 ana wake watatu,mke wake wa tatu ana miaka 25.
Na huwa anashangaa vijana wanaolalamika kuhusu nguvu za kiume.Anaamini hakuna dawa ya nguvu za kiume na huo ugonjwa haupo kama ulizaliwa timamu.Anashangaa kijana wa miaka 27 analalamika nguvu za kiume na kutafuta dawa.
Anakwambia hata mke wake mdogo anamtambua vizuri.Anapiga goli 3+ hata ukimuona yuko vizuri ni mkakamavu.Tatizo ni vyakula na mapombe ndio vinatusumbua vijana.
Upo vizuri.. kama hujaolewa naomba fanya uwezalo utupunguzie walau senior bachelor mmoja.Ma senior Bachelor nawaombea kwa Mungu mwaka huu afungue milango ya kuoa na kuolewa muondokane na hiyo adha jamani.Unajua muda mwingine unaweza ukawa umefanikiwa kwenye kila nyanja kiroho,kiuchumi na kiakili ila shetan anakua anakuchezesha au kukufunga kwenye mahusiano ili ufel tu hivyo vingine.Tusichoke kusubiri ila cha muhimu tunatakiwa kuwa na utayari kutoka ndani,sio kujilazimisha.
Uliona mkeo ana umri gani?Mi nilioa 38 yrs, mambo safi tu, ila nilichoona inabidi Mungu akujalie upate mtoto mapema, kuhusu kwichikwichi bado stimu ipo sana tu, Ila tatizo ukiooa wife hajaenda shule yaani wa kiule nyumbiiibombiiii ndio utakoma ubishi. Wanawake wasiosoma hawana ile kujali muda kwamba kila jambo linafanyika kwa wakati, labda umuelimishe au utumie ukali kidogo utakuta amekuja jamaa yake wanapiga store, we unasubiri chai baada ya store anamsindikiza na anaweza kusahau kama aliacha mtu anasubiri chai
Vinginevyo Senior Bach unakuwa focused sana na familia..
'tusichoke'....na wewe umo?Ma senior Bachelor nawaombea kwa Mungu mwaka huu afungue milango ya kuoa na kuolewa muondokane na hiyo adha jamani.Unajua muda mwingine unaweza ukawa umefanikiwa kwenye kila nyanja kiroho,kiuchumi na kiakili ila shetan anakua anakuchezesha au kukufunga kwenye mahusiano ili ufel tu hivyo vingine.Tusichoke kusubiri ila cha muhimu tunatakiwa kuwa na utayari kutoka ndani,sio kujilazimisha.
Simple......naajiri mtu Wa kunihudumia akisaidiana Na wananguNi pale unapopata tatizo la kukupeleka hospitali, patient history inakuwa hivi;
A patient is a 50 yrs old male, never bn married. He lives by himself, un able to look after himself.
Next of kin in case of an emergency? Querry a brother ?
Katika hali hiyo hata sanamu la Michelin utalitamani.
In this case there are no children involved.Simple......naajiri mtu Wa kunihudumia akisaidiana Na wanangu
Nahis nitakapotimiza miaka hii ndo kidume ndani ya suti nitakuwa36yrs
nilimzidi miaka 9 au 10 sina uhakika sana yaani alikuwa 26 au 27 nilisahngaa sana kukuta bikra pale katika umri ule nilioa kanisani kwa heshima zote. Shida mimi sikuwa bikra na nilitaka mgegedo wa kushiba ilibidi niende slow slow. Kwasasa nae kanenepa na tofauti inaonekana ndogo.Uliona mkeo ana umri gani?
.Kwahyo tusichoke kuomba.
'tusichoke'....na wewe umo?