Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Sasa unakuta mwanaume hana mashine anafua mwenyewe, anapika mwenyewe, anapasi mwenyewe, chakula chake kitamu kuliko cha wanawake wengi, anaosha vyombo mwenyewe, akienda shopping anajua viungo vyote hadi tenderriser na hasahau kutokununua hata kimoja.

Sufuria zake saafi anazisugua na steelware kuchwao, anapata wageni wa kike na wa kiume kila weekend, akienda kazini ana pack chakula alichopika yeye, Wanawake wake hawapiki anawapikia wanasubiria chakula chake huku wanaangalia +EVA. Anaalikwa kwenye sherehe anahudhuria hasahau.


Sasa huyu aoe ili iweje? Anachokosa nisex tu.
Jamani
 
Nilipointiwa single mother na father house mtoto akaletwa pini kweli. Sasa kujiridhisha nikaona nimjue mzazi mwenzie isee wahuni sio watu
 
Mimi changamoto nazopitia.
1. Watu wengi wanahisi mimi muhuni, wanajiuliza kwa nini sioi?

2. Wakati mwingine huaminiki na familia za marafiki zako, wanahisi utawaambukiza waume zao uhuni.

************
Kwenye kutafuta mke sidhani Kama ni changamoto kwangu, maana standards zangu ni za kawaida tu. Cha muhimu awe na chura akili tutatumia zangu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
😂😂😂😂😂he
 
Ni pale unapopata tatizo la kukupeleka hospitali, patient history inakuwa hivi;

A patient is a 50 yrs old male, never bn married. He lives by himself, un able to look after himself.

Next of kin in case of an emergency? Querry a brother ?

Katika hali hiyo hata sanamu la Michelin utalitamani.
We umeolewa?
 
Tena unakuta ule mda unaitaka kupumzika ndio anakuchokonoachokonoa. Ilisha nikuta sana hii
Yani hapo ndio penyewe yani mwanamke anataka uanze kumbembeleza bembeleza wakati we umechoka unataka upumzike mara aone humpendi yani kero tupu
 
Back
Top Bottom