Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Hakika.

Mabinti wa miaka 25-30 wengi wan watoto bila ndoa. Kumkuta mwakamke ana miaka 30 na hana mtoto ni nadra sana.

Kwa mimi ambae msimamo wangu ni kutokuoa single mom, inanipatia shida sana ingawa mimi bado sijafikia senior bachelor.
hatari sana
 
Kwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa.

Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.

1. Kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)

2. Wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)

3. Kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.

4.
5.
6.

Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
🙂🙂🙂🙂🙂
 
Kama 36 ndo Senior bachelor basi nimebakiza miaka 10 kufikia... Hurrah!
 
Hahaaa
 
wanawake wako wengi sana ambao hawana watoto, nenda kanisani, join social activties. unga kikundi cha vijana kanisani, rotary, goat race. Wapo wengi sijui mnaangali wapi? elements?
 
changamoto nyingine ukute demu mpo nae dini tofauti yy muislamu, ww mkiristu mbona atakataa kubadilisha dini
 
Mhhh..suala la dini nilishalishinda kidato cha sita. Tangu wakati huo sijawahi date mtu wa imani tofauti.

Ila si rahisi kihibyo, kwangu na kwake. Kama ambavyo sioni katika umri huu nikianza kusoma Quran na yeye nitamuelewa kabisa akisema ni vigumu kubadili dini.

Ni heri mwanzo kabisa utafute mnayelandana imani au muwe mmeshakubaliana tangu awali kabisa...
Si unabadili wewe tu?
 
Back
Top Bottom