Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,943
Basi ningependa kukufahamu kama hutojali...
Hata mpenz sina. ...
Hata mpenz sina. ...
Ubinafsi huu.
Ukiona nimekosea si unaniambiaLol no! Sijui jinsi ya explain, Ila kuna Ile stage, flani hivi.... Let say napika mwenyewe etc,
sasa ukishakuja wewe Agata in my life tategemea ufanye vitu flani na usipofanya in right way ndio matatizo yanapoanza taona unanipa stress tuu
Na nikiwa peke yangu sipati hizo unnecessary stress [emoji23][emoji23]
Nimeokota dodo au ?😀 😀
iI believe dodo ni wewe...it will be an honor to me.
Ukiona nimekosea si unaniambia
usijipe matokeo kabla hujafanya mtihani.That is another changamoto, ujue BAADHI ya wanawake hawapendi kusikia ukweli na wanawake hamkawii kutwist things, nikikuambia mara 2-3 utasema nadate na huyu senior bachelor' ananitreat kama mtoto kila kitu nikifanya anaongea tuu
Ndo mimi huyo...i
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 tunafanyaje sasa?
HahahaaaNdo mimi huyo...View attachment 1093788
Ndo mimi huyo...View attachment 1093788
Hahahaaa
Maana yake nini?...you know...View attachment 1093797
Umenena vyema kabisa yani mkuuNi changamoto kubwa niliyoipata ilikuwa ni kupenda, senior bacheloz always wanakuwa wamepita kwenye mahusiano mengi sana. Kwahiyo kupenda moyo ulishakufa kitambo hii inasababisha kigugumizi kwenye maamuzi yupi atakufaa kwa matumizi ya nyumban.
Ila changamoto nyingine ni kuacha makoloni yote na kuwa na mmoja kama njiwa. Hili ni tatizo kwakweli. Kwa wanaotaka kuoa au kuolewa fanyeni maamuzi mapema mtakuwa sugu kwenye mapenzi iwaletee shida kwenye maamuzi. Na kama unadate na senior bachelor ujue kuwa peke yako ni 2-10%tu
You can not send to..Maana yake nini?
Huyo ni wewe?You can not send to..View attachment 1093809
Huyo ni wewe?
Mmmmhhhhh😳😱😱