Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Mm ni victim wa item 3. Its a challenge...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wanawake wa miaka hii bila kuchagua sana matokeo yake ndio hizi ndoa zinadumu miezi 6!
Inatupasa kushukuru uwepo wa option ya divorces. Japo huwezi iomba kabla ya miaka miwili ya ndoa(2years rule) au uombe kibali cha court cha kufail divorce kabla ya miaka 2 na ukipate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

😂😂😂😂
 
Ndiyo sasa kila siku unakula nyumbani na siyo hotelini na kila siku nguo safi na zimenyooshwa kabisa kwanini tuamini hamjaoa?

Haahhaahhaah nilikuwa mdogo ndiyo sababu[emoji23][emoji23][emoji23]


The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.

Aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkiwa hamjapata watoto mnaringa utadhani hamuendi chooni, mkishazalishwa tu shombo zote zinakatika
wakizaa na kuachwa wanakuwa wife material first class
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…