Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Shida ni bond kati ya mama na Baba wa mtoto. Ngumu kuvunjika

hakuna cha bond,

mwanamke ana heshima kwa anayemuoa,

atakua mjinga kuendeleza upuuzi,

hii sio strong reason RRONDO

wewe sema hutaki kulea mtoto wa mwenzio...😀😀😀😀😀

which is understandable....

for years and years before you were born..

hii kitu ya kulea watoto sio wao, kwa wanaume ni kitu kigumu hata vizazi vilivyopita...

kwa wanasaikolojia WANAUME HUCHUKIA WATOTO SIO WAO KWA SABABU,INAPUNGUZA CHANCES ZA WAO KUPASS THEIR OWN GENES/MATING STRATEGIES.....lengo la sisi kuishi duniani ni kuproduce offsprings wanao bear/carry our genetic material,..sidhani kama nitaeleweka ila huo ndio ukweli..mtoto sio wake,reminder ni sio genetic material yake….
 
hakuna cha bond,

mwanamke ana heshima kwa anayemuoa,

atakua mjinga kuendeleza upuuzi,

hii sio strong reason RRONDO

wewe sema hutaki kulea mtoto wa mwenzio...😀😀😀😀😀

which is understandable....

for years and years before you were born..

hii kitu ya kulea watoto sio wao, kwa wanaume ni kitu kigumu hata vizazi vilivyopita...

kwa wanasaikolojia WANAUME HUCHUKIA WATOTO SIO WAO KWA SABABU,INAPUNGUZA CHANCES ZA WAO KUPASS THEIR OWN GENES/MATING STRATEGIES.....lengo la sisi duniani ni kuproduce offsprings wanao bear/carry our genetic material,..sidhani kama nitaeleweka ila huo ndio ukweli..mtoto sio wake sio genetic material yake….

Ukweli huwa kazi sana,hata mimi hili la kulea mwana wa mwenzangu ni tatizo,labda itokee na mimi niwe na mtoto nje hapo kidogo itakuwa rahisi.
 
Nadhani changamoto kubwa zaidi ni kujua iwapo mwenzio anakupenda wewe ama status yako (ya kiuchumi au ajira). Upendo wa kweli kabisa kwetu sie old school haijalishi una pesa ama kazi nzuri, unaangalia vision aliyonayo mwenzio na kuona kama mtafika ndoto zenu pamoja.

All in all siri zote zina Mungu mwenyewe. Trust your guts jilipue tu

Sent using Jamii Forums mobile app

King'asti kupata mtu anayekupenda 100% na unampenda 100% ulishafikiria ni close to imposible?? tumezaliwa tofauti,tuna upbringing tofauti….kwenye mahusiano watu wanacompromize kidogo,ukiona anabebeka au at least anakidhi vigezo vyako..unabeba tuu..LOL ku paint picture kuwa mahusiano yako perfect ukimpata mtu mkapendana ndivyo itawafanya watu waendelee kutafuta this perfect imaginary person,miaka yote..nimependa hapo chini..jilipue tu..lol
 
Ila hata wewe unapenda upendwe kwa asilimia mia ?
 
Back
Top Bottom