Sasa watu Wana design mfumo , wanaojua watumiaji wengi wa huo mfumo ni wamiliki wa simu.za kichina za tekno, Infinix, redm na OPPO inashindwa kuweka graphics zinazofiti kwenye display za simu hizo? Hata Kuna siku nilifungua NHIF natafuta vifurushi, garama na huduma za Kila kifurushi lakini ilikuwa hai fit screen. Ukiwauliza watakubia wametimia " wataalamu wabobezi" wa ndani