Wadau naomba kuuliza kama boss wangu hataki kunipitishia barua katika mfumo wa ESS naenda wapi kutoa malalamiko katika mfumo mana utumishi kwa sasa kila kitu lazima ESS na barua yangu imekwama kwake nasema hapitishi sasa ivi imeenda siku ya 7 ipo kwako
Mfumo wa ESS utumishi wamesindwa kuruhusu walionufaika na mkopo kuulipa kwa kuuzia bank madeni hayo.
Sijajua wanakwama wapi kiasi hicho wakat kabla ya mfumo walikua wanaruhusu.
Imekuwa ni kero kubwa kwetu watumishi ambao tulitamani kulipa madeni yao haraka.
Kila wakiulizwa wanasema ahadi za...
Anonymous
Thread
bodi ya mikopo
elimu ya juu
mfumowaess
mikopo elimu ya juu
Tangu kuletwa kwa mfumo huu umekua kikwazo na kero zaidi kwa watumishi kuomba uhamisho.
Mfumo huu umetumiwa kuminya haki ya uhamisho kwa watumishi waumma.
Mbaya zaidi mfumo hautambui changamoto za watumishi katika kuomba uhamisho mfano,ugonjwa,mazingira hatarishi au ndoa.
Hali hii inapelekea...
Mimi ni mojawapo ya mtumishi ambae nimeathiriwa na mfumo huu wa ESS katika upandishaji wa madaraja.
Nimejaribu kufatilia je, ni sehemu gani sijaenda sawa hata sioni ninaandaa azimio la kazi ninaandaa andalio la somo ninasaini log book. Ninaandaa zana za kufundishia, ninasaini class journal...
Wamesema watumishi uhamisho ni kwenye mfumo wa ESS, Watu tumepata wa kubadilishana nao, uhamisho unasoma TAMISEMI muda sasa lakin hakuna vibali hadi tunaobadilishana nao wanataka ku-cancel maombi jamani watusaidie tumefuata Sheria.
Ofisi ya RAS Mkoa wa Mara inakaa na maombi ya uhamisho ya watumishi zaidi ya wiki mbili sasa bila kuyapitisha kwenye mfumo wa ESS.
maombi yangu ya uhamisho toka tarehe 1/6/2026 hadi leo bado yanasomeka yapo kwenye ofisi yake.
NInaomba kama RAS atakua amempatia mtu jukumu hilo la kimfumo...
Jambo la kushangaza ni kuwa mfumo wa ESS unashindwa kutuhudumia upande wakuuza mikopo, uhuru wa kuchagua benki ni wa wazi na riba zinaonekana, tunaiomba Serikali imalizie ama i-activate mfumo wa kuuza na kununua madeni (loan takeover).
Tunajua ni njama za benki zinaogopa kupoteza wateja, hivyo...
Anonymous (cc8c)
Thread
ess
huduma
katika
kununua
kuuza
madeni
mfumomfumowaess
mikopo
mikopo ya watumishi
watumishi
Huu mfumo japo umekuja na mazuri, lakini kwa sasa unageuka kero kwa Watumishi kwa baadhi ya huduma kutopatikana leo ikiwa ni siku ya 2 mfululizo.
Mimi nashauri waufute huu mfumo au kuwe na mbadala pale mfumo huu unapofeli kwani unakwamisha sana mambo ya watu na kwa sasa unageuka kero badala ya...
Mfumo wa ESS kwa watumishi wa Umma umekua na changamoto za mara kwa mara ..mara nyingi unakua down,je wanao simamia au walioleta huu mfumo hawakujua unyeti wa hili wanalo anzisha ?
Hawakujua kuwa mfumo unapaswa kuwa bora sana kuliko ulivyo sasa ..
Kumbuka huu mfumo ndio unaonesha uwajibikaji...
Anonymous
Thread
awajibishwe
changamoto
essmfumomfumowaess
nani
umma
watumishi
watumishi wa umma
....Wakuu nimejaribu kuapply loan lakini natumia simu imekuja namna hiyo kwahiyo siwezi kuona kiasi gani napata na makato yake Ili niweze ku apply kila nikijaribu kusogeza nione mbele inagoma, hata ku rotate simu pia haitaki msaada nifanye Nini niweze kuona hapo
MFUMO WA ESS KWA SIMU
ESS ni mfumo wa serikali unaoendeshwa na kusimamiwa na Ofisi ya Raisi Utumishi. Mfumo huu hutumika kwa mambo mengi ya kiutumishi yanaywahusu watumishi wa umma kama vile kufanya maombi ya likizo, uhamisho, kupats salary slip, n.k online.
Pamoja na mambo mengine, mfumo huu pia umerahisha uomboji...
Wasalamu
Napenda kutoa kero yangu iliyonisibu na kuharibu maisha yangu kwa kiasi fulani. Na Ilichangizwa kwa namna moja na uelewa wangu mdogo kwenye masula ya mikopo kipindi hicho, Ila pia inachangizwa na watumishi wasio wazalendo kwa makusudi ( utafiti wangu) sekta ya fedha ( B.O.T) Na...
Kumekuwa na changamoto kubwa sana pale mtumishi anapokopa kwenye ma-bank kama NMB,CRDB na taasisi zingine kupitia mfumo wa ESS,, Changamoto hizo ni kama ifuatavyo;
1. Mtumishi mwenye kipacho cha chini aliyekopa labda 20Mil,, anatakiwa rudisha riba 15Mil jumla anakua na deni la 35Mil kwa miaka 7...
Au mpaka tuite press kama Gwajima?
Toeni tamko kama mfumo mmefunga mazima tujue moja .
Kama mnafungua pia semeni..
Mnapokaa kimya as if hakuna kinachoendelea ni dalili ya dharau..
Halafu NO Reform no election kabla sijasahau
Ngoja tububujikwe na machozi mpaka Lucas Mwashambwa aje kujifunza kwetu
Huu mfumo wa ESS utumishi umekuja na mambo mengi mazuri kwa Watumishi wa umma kama vile ku- access mikopo online bila kulazimika kwenda benki, kuomba likizo online na mambo mengine ambayo kwa saaa yanafanyika online na kwa haraka zaidi tofauti na zamani.
Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo sasa...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano kupitia ofisi ya Rais- Utumishi ilianzisha mfumo wa ESS ambao umerahisisha shughuli nyingi za kiutumishi, moja ya suala lililorahisishwa ni ushughulikiwaji wa uhamisho wa Watumishi kwa njia ya mtandao. Cha ajabu ni kwamba Watumishi walioidhinishiwa hamisho zao na...
Anonymous
Thread
ess
haki
lengo
mfumomfumoessmfumowaess
uhamisho utumishi
utumishi
watumishi
Ukitaka kukopa ni mserereko tu huendi ofisi yoyote wala humpigii simu yoyote ila ngoma ni wakati wa kulipa hasa unapotaka kufanya mabadiliko ya malipo ya mkopo wako, huwezi ng'o!
Benki hebu acheni hizo bana yaani kuna vitu hivi laiti mngewezesha Watu kujihudumia wenyewe kwenye Mfumo wa ESS...
Kuna jamaa yangu ameomba uhamisho wa kubadirishana kupitia kwenye mfumo wa ESS toka mwaka jana mwezi wa nne ila cha kushangaza hadi sasa status inasoma TAMISEMI na hakuna jibu na hajui ni lini ataweza kujibiwa.
Ikumbukwe kuwa Serikali iliamua kuachana na Uhamisho wa manual na kuanzisha ufumo wa...
Napata ujumbe huu
"error initializing transfer request "
Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa approved, baada ya hapo mfumo unataka nisubmit maombi nikiwa nimeambatanisha docs Nimefanya hivyo lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.