Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 40,603
- 52,318
Mzito kuelewa ni wewe you can't compare death and life.Nimesema kitagawa kura ambazo zilipaswa ziende Chadema tena zile za kanda ya ziwa!!!Mbona Wazito kuelewa!!?sijasema UP kitashinda dhidi ya Chadema!!!Mbona bandiko ni fupi SIO refu!!!?
Huko kanda tuna washabiki wa damu. Tulia dawa ikuingie.