Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 697
Hii mechi ni kali sana, na madhara yake athlani yako makubwa.
KWANI WE NA zomba mna undugu?? naona waliokugongea like ni waccm wenzio wote kha!Radio clouds wametangaza asubuhi hii na nilisikia sauti ya Msangi ikizungumza hivyo lakini kama hana kosa kwa nini tunadhani hatakiwi kuhojiwa na kama hana kosa kwa nini tunaogopa akipelekwa mahakamani?
Baadhi ya mambo yanahitaji subira.
Mkopi ana kwa ana na Msangi kama ni muuaji mbona karudi salama????
HAO MADOKTA WAMESABABISHA VIFO VYA WATANZANIA WANGAPI KWA MGOMO WAO je NA WAO WATAFUTIWE NJIA YA KUUWAWA?
Radio clouds wametangaza asubuhi hii na nilisikia sauti ya Msangi ikizungumza hivyo lakini kama hana kosa kwa nini tunadhani hatakiwi kuhojiwa na kama hana kosa kwa nini tunaogopa akipelekwa mahakamani?
Baadhi ya mambo yanahitaji subira.
Mkopi ana kwa ana na Msangi kama ni muuaji mbona karudi salama????
Mbona hakuna jipya kwenye hiyo barua? Ni maneneo yale yale yanarudiwa