hawajaomba ulinzi, wamedemand ulinzi. Hivyo nivitu viwili tofauti...
yep, demand is a right one. Inabidi hiyo barua ipelekwe hadi kwa obama.
hawajaomba ulinzi, wamedemand ulinzi. Hivyo nivitu viwili tofauti...
kuna mijitu ilikuwa inabisha juuya dr ulimboka kumtaja msangi ...sasa barua hii nayo imesema ni kwelim msangi alitajwa kuhusika.....
Kama kuna fedheha kubwa katika serikali hii hakuna inayoizidi hii ya wananchi kuomba ulinzi wa UN baada ya vyombo vya usalama kutishia usalama wao. Hivi wanastahili kweli kuwepo na uendeshaji wake kutegemea kodi zetu? What a shame!
Go back to ur constitutional copy if u have any
The gov is responsible for providing health services to her citizen and not otherwise...
Doctors are just employees as any other employees ....
Try to think big and do some analysis before you post in here.....
HII NCHI HAITAKI HATA USHAURI WA VIONGOZI WA DINI, LAKINI KWENYE KUAPISHANA, WALIITWA. Ama kweli tumefika pabaya!OH! God, tunaomba utukomboe tunakokwenda siko! Tusiombe tufike wanakotaka kutupeleka yaani watanzania ninao wafahamu ndo wamefikia hapa kweli tumekwisha. Ila hakuna linalomshinda Mungu nikusali kila wakati maana sasa shetani ameingia nchini. God come come!
Tuna matatizo ya kiuongozi na kiutaalam katika taasisi nyingi, za kisiasa na kiraia. Barua ya MAT inaanza kwa kusema kinachowasibu ni kwamba wanahofia hatari za kiusalama na vitisho kwa Dr. Ulimboka.
Kwa mtazamo wangu nadhani hapo in pekundu ni sahihi:Tuna matatizo ya kiuongozi na kiutaalam katika taasisi nyingi, za kisiasa na kiraia. Barua ya MAT inaanza kwa kusema kinachowasibu ni kwamba wanahofia hatari za kiusalama na vitisho kwa Dr. Ulimboka.
Well, Dr. Ulimboka hajatishwa, amesulubiwa nusu ya kufa, utasemaje suala hapa ni vitisho? Sijui tatizo ni lugha za kigeni?
Barua inalalamika kwamba akiwa polisi Dr.Ulimboka hakupewa msaada wa kitabibu. Watu wa UN lazima wawashangae sana, mmemuokota mtu kwenye mitaro vichakani, yuko taabani hana meno anachuruzika midamu, mnampeleka polisi! Polisi wafanyeje, wamhoji kuchukua statement au wampe muarobaini apone?
MAT wanasema Dr. Ulimboka alitekwa mbele ya Ofisa wa Ofisi ya Rais. Nani? Wanafyata kumtaja!
Mnaopinga mgomo mna haki ya kuvaa gloves na kwenda kuwasaidia wagonjwa.
Hakuna ulazima wa watu wasiotaka kazi kulazimishwa. Nani aliwazuia nyie nanyi msisomee udaktari?
After all wananchi hawana mikataba na madaktari wala madaktari hawana mikataba na wananchi bali serikali.
Nao wananchi wana mkataba wa kupata matibabu toka kwa serikali na si madaktari.
hivyo kama wananchi wanahitaji matibabu wana haki ya kukamatana na serikali yao! Fungukeni muwe na akili
Kwa hiyo our government is a liar? Je wananchi nao hawana akili na ni dhaifu!!! Ni kitu gani kinaweza kuleta ile amani na furaha na upendo wakati wa awamu ya kwanza ya urais wa Tanzania!!! Aliyempinga marehemu baba wa taifa nitamlaumu sana!!! Alifanya mazuri kwa kiasi chake na tunategemea mazuri zaidi maana kwa sasa tunawapa madini wawekezaji, na gas, na sasa uranium na mafuta!!!!! Looooo this .................so sad!![/QU NI KWELI WANANCHI WAWEZA KUWA DHAIFU KWA KUKOSA pesa za kwenda private na nje ya nchi kujitibia kama hao serikali na madactari na kubaki kuumizwa na migogoro ya hao mafahari wawili. Ukiangalia muhimbili wagonjwa maskini wanagomewa lakini wagonjwa fast truck wanahudumiwa. Ina maana fast truck kuna vifaa vya kutendea kazi na mashine sio mbovu wakati hospitali ni moja? Madoctor siasa, serikali siasa plus dhaifu. Wananchi umaskini unawaua bila hatia. Wacha maskini wafe, wabaki taifa la matajiri wenye uwezo wa kujitibu private. Ila damu ya raia wasio na hatia atawatafuna.
ACP msangi auawe km kibaka! Siku za ukombozi zaja na zahesabika Pinda mzee wa liwalo na liwe