Abdalla Khamis
Member
- Jun 13, 2011
- 59
- 8
bila shaka wote tunafahamu kuwa kuna mahusiano kati ya cdm na chama tawala cha uingereza (consevertism) ambapo chama hicho kimekuwa mstari wa mbele katika kuhalalisha ushoga kama alivyokaririwa bosi wa chama hicho bw.david cameroon kuwa nchi yoyote inayosaidiwa na serikali hiyo sherti ifuate sera ya ushoga lasivyo nchi hiyo haitapata misaada yoyote.
Kwa ninavyoufahamu unafiki wa cdm wa kugombania haki za wanyonge, wangelisema kitu kuhusiana na ukatili huo wa waingereza.lakini nashangaa mpaka sasa wamekaa kimya.evi we padri slaaa we si ndiye unayejiita mwanaharakati? Mbona huwarakatii hili? Au nawe unaogopa kunyimwa misaada? Kama ni hivyo inadhihirisha kuwa hata ukiwa madakani utakuwa zaidi ya hao unaowapinga kwa uroho wako wa kichaga wa madaraka.
Kwa namna moja, uingereza imeipa mtihani mkubwa chadema ambapo cdm inafanya mtihani huo wakijua kuwa wanafeli na hatimaye jamii kukisusa chama hicho kinachoonekana kufeli hata kabla ya ile hadithi ya abunuasi kutimia ya kwenda ikulu.nahiii kwasababu jamii imeanza kupoteza imani na chama hicho na kung'amua kuwa kinachoubiriwa na cdm ni propaganda tu zinazotokana na tamaa za viongozi wao za kuelekea ikulu.