Hapo kwenye red; tunapotea kwa kukosa maarifa. Ukishatamka neno dhambi maana yake unazungumzia masuala ya rohoni na kiroho dhambi zote ni sawa mbele za Mungu. Usitake kupoza UFISADI kwa kutisha watu na USHOGA; tena jana nilionya kwenye thread nyingine kwamba makuwadi wa kisiasa hapa nchini wamepata hoja ya kudandia ili kuwasahaulisha wananchi taabu walizo nazo likiwepo suala la UFISADI, KUTOWAJIBIKA, UPENDELEO serikalini, na mengineyo chungu nzima kwa kushadidia hoja mpya ya ushoga.
Kijamii UFISADI ni mbaya kuliko USHOGA ila kimaadili USHOGA ni mbaya kuliko UFISADI. Kiroho (yaani kidini) UFISADI ni sawa na USHOGA. Natumaini umepata mwanga. Sasa pima mwenyewe unatazama suala lipi kwa "angle" ipi!
Wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..
Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.
Wanabodi.
Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..
Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Cameroun ni PM alitoa kauli ya serikali na siyo chama. Kama sheria hiyo ipo katika katiba yao hata angekuwa wa chama kingine angesema hivyo kukidhi matakwa ya nchi yao.
ubatili mtupu, kwani ni kwa nini jamii yetu inachukia ushoga?-hata mmi nachukia sana tena sana na nikiona shoga au hata nikisikia uwepo wao napata kichefuchefu.
Lakini huwa najiuliza na naomba wan jf tujiulize, hivi ni nini hasa msingi wa sisi kuuchukia ushoga?
Ni mafundisho ya dini zetu? Ni maagizo ya vitabu vyetu vitakatifu?
Kwamba tunaogopa dhambi?
Tunaogopa kumkosea mungu wetu mkuu?
Na ufisadi je?
Uzinzi je?
Uwongo je?
Wizi je?
Udikteta?
Ubinafsi je?
U sisi tu je?
Yeye aliye msafi na awe wa kwanza kurusha jiwe.
Ushoga si haramu zaidi kuliko hayo mengine,
ccm na serikali yake haina haki ya kupinga ushoga kwa nguvu zake zote.
Ukichukia dhambi moja na ukakumbatia zingine inakuwaje?
Nadhani hizo nchi za magharibi zilijiuliza sana maswali haya kabla ya kutoa huo uhuru wa mashoga.
Naomba nieleweke kwamba mimi siungi mkono na wala sitaunga mkono ushoga.
Hivi kwa mfano shoga akikuuliza swali hili, ipi ni haramu zaidi kwa jamii ushoga na uzinzi utajibu vipi?
Ufisadi na ushoga?
Mbona mafisadi na wazinzi serikali zetu zinawapenda?
Jamii zinawafanyia sherehe mafisadi na akina membe hawasemi?
Serikali na wananchi wengi wayatendayo kila siku hayana tofauti na ushoga.
Kwanini mashoga wanyimwe haki wakati mafisadi wananyenyekew na kuheshimiwa?
Ni ubatili mtupu.
unataka kuufananisha ushoga na ufisadi.
Kwanini wewe usituwekee bandiko la Conservative kuhusu ushoga?Mkuu, JF sio sehemu ya porojo Great Thinkers wanataka uweke pandiko kutoka kwenye katiba ya Uingereza inaonyesha hayo maneno yako..
Ushoga upo kwenye katiba ya Uingereza..
Tuwekee mkuu
Sodoma na Gomora iliangamizwa kwa ajili ya Ufisadi!Unauliza jibu? USHOGA ni dhambi na UFISADI ni dhambi na DHAMBI zote mbele za Mungu ni sawa! Wote watendao dhambi mwisho wao ni katika Ziwa lile liwakalo moto yaani Jehanamu ya milele. Mungu mwenyewe amesema hivyo wewe unapinga kama nani?
Kama kulivyo na sheria ya kuupinga ufisadi vivyo hivyo ni lazima kuwe na sheria ya kuupinga ushoga kwa nguvu zote na sidhani kama kuna mtanzania mwenye akili timamu atakayesema ushoga ni mzuri. Tatizo letu tumezaliwa na kukulia katika mazingira ya kifisadi hivyo kudhani ufisadi ni haki mojawapo ila kwa kuwa ushoga ni "desturi mpya" ndio maana tunakurupuka kuupinga huku tukiusahau au kuanza kuukumbatia ufisadi.
Wala sioni haya au aibu kutamka kwamba UFISADI na USHOGA havina tofauti na vyote ni vya kupiga vita kadiri inavyowezekana. Umenipata ndugu yangu?
Kwanini wewe usituwekee bandiko la Conservative kuhusu ushoga?
Asante Baba, Ubarikiwe!!!wanaJF
nasikitishwa sana na utamaduni wa kujadili na kupoteza muda kwenye hoja zisizo na tija.
I. Taifa liko kwenye janga la umaskini, uchumi unazidi kuporomoka,shillingi yetu inapoteza thamani, watumishi wengi wa serikali hadi sasa hawajalipwa mishahara, oc haijatolewa na shughuli nyingi za serikali zimesimama. Hizi kwetu ni hoja nadhani hoja zingine zinapandikizwa ili ili watu wasahau Real Issues.
2. Ushoga uingereza si issue ya leo au jana.. Tunajua ilivyogawa Kanisa la Anglikana ambaye mkuu wake ni ni Malkia. Hili liliathiri hata hata Kanisa hilo hapa kwetu.wakati linaanza Cameroon wala wala Cons. Hawakuwa in power. Kuilink na Chadema ni upuuzi na kielelezo cha uvivu wa kufikiri na kutafiti.
3. Chadema ina utaratibu wake wa kutoa Tamkokwa mambo ambayo si sera yake.
4.kwamba ushoga kama ilivyo ufisadi unapingwa na Chadema haina mjadala.rejea. Rejea Kif.10 maadili viongozi na wanachama.
Sodoma na Gomora iliangamizwa kwa ajili ya Ufisadi!
wanaJF

Unajichanganya mwenyewe...kama hutaki kuelewa shauri yako! Baki na ujinga wako!Kwa hiyo kipimo kwako ni Sodoma na Gomora. Kwa hiyo kwako matendo mengine yote machafu alimradi hayakuchangia kuangamiza Sodoma na Gomora sio tatizo! Kwa hiyo unataka kutuambia ulevi, uzinzi, wizi, uasherati, ufisadi, ibada za sanamu, uongo, uuaji, kutoheshimu wazazi, n.k. ni sahihi kwa kuwa tu havihusiki na anguko la Sodoma na Gomora. Kwako dhambi pekee ni ufiraji au ulawiti yaani USHOGA!
Think outside the box my brother. Nilichosema ni USHOGA, UFISADI, na machafu mengine yote mwisho wake ni Jehanamu na ni lazima yapigwe vita kwa nguvu zote. Naona u mzito wa kuelewa wewe toka nje na uache kufikiri ndani ya box (jeneza) liitwalo Sodoma na Gomora pekee!
wanaJF
nasikitishwa sana na utamaduni wa kujadili na kupoteza muda kwenye hoja zisizo na tija.
I. Taifa liko kwenye janga la umaskini, uchumi unazidi kuporomoka,shillingi yetu inapoteza thamani, watumishi wengi wa serikali hadi sasa hawajalipwa mishahara, oc haijatolewa na shughuli nyingi za serikali zimesimama. Hizi kwetu ni hoja nadhani hoja zingine zinapandikizwa ili ili watu wasahau Real Issues.
2. Ushoga uingereza si issue ya leo au jana.. Tunajua ilivyogawa Kanisa la Anglikana ambaye mkuu wake ni ni Malkia. Hili liliathiri hata hata Kanisa hilo hapa kwetu.wakati linaanza Cameroon wala wala Cons. Hawakuwa in power. Kuilink na Chadema ni upuuzi na kielelezo cha uvivu wa kufikiri na kutafiti.
3. Chadema ina utaratibu wake wa kutoa Tamkokwa mambo ambayo si sera yake.
4.kwamba ushoga kama ilivyo ufisadi unapingwa na Chadema haina mjadala.rejea. Rejea Kif.10 maadili viongozi na wanachama.
DR hapo kwenye red and bolded ndio maana sisi wengine tunaona kama mnapoteza umakini wenu, haya matatizo uliyo yaainisha nyie kama cdm mmefanya nini kutoa suluhisho mbadala la matatizo hayo, hata kama serikali haitawasikiliza lakini wananchi tutaona kuwa mliguswa na matatizo yetu na mkatoa ushauri haukufuatwa, sasa tunachokiona ni kila mtu anasema kwa wakati wake anapojisikia na anapoona inafaa, hauoni kuwa hilo ni tatizo hasa kwa chama cha siasa chenye uongozi na viongozi wake.
Asante sana Dr. Slaa kwa kulitolea ufafanuzi mwenyewe mimi nilijaribu kuwaelewesha kuwa ushoga si sera ya Chadema, kwani maneno haya ya ushoga yamekuwa yakitumiwa sana na Katibu mwenezi wa CCM Nape rejea kule Mwanza aliposema atawashikisha vijana ukuta. Kweli ni upuuzi kuitisha eti kamati kuu kujadili ushoga na kuacha mambo ya msingi yanayolikabiri taifa, kama CCM wanaona ushoga kwao ni jambo muhimu waliongeze kwenye ajenda ya mkutano wao wa NEC utakaofanyika mwezi huu baadae Nape atoe tamko kama alivyotoa tamko feki la kujivua gamba.wanaJF
nasikitishwa sana na utamaduni wa kujadili na kupoteza muda kwenye hoja zisizo na tija.
I. Taifa liko kwenye janga la umaskini, uchumi unazidi kuporomoka,shillingi yetu inapoteza thamani, watumishi wengi wa serikali hadi sasa hawajalipwa mishahara, oc haijatolewa na shughuli nyingi za serikali zimesimama. Hizi kwetu ni hoja nadhani hoja zingine zinapandikizwa ili ili watu wasahau Real Issues.
2. Ushoga uingereza si issue ya leo au jana.. Tunajua ilivyogawa Kanisa la Anglikana ambaye mkuu wake ni ni Malkia. Hili liliathiri hata hata Kanisa hilo hapa kwetu.wakati linaanza Cameroon wala wala Cons. Hawakuwa in power. Kuilink na Chadema ni upuuzi na kielelezo cha uvivu wa kufikiri na kutafiti.
3. Chadema ina utaratibu wake wa kutoa Tamkokwa mambo ambayo si sera yake.
4.kwamba ushoga kama ilivyo ufisadi unapingwa na Chadema haina mjadala.rejea. Rejea Kif.10 maadili viongozi na wanachama.
Ndio maana vyote hivyo vinakemewa vikali katika sheria zetu!, kwanini ushoga ukubalike?nenda democrat au GOP, nenda labor au conservatives vyote vinakubali na vina wanachama mashoga. Ni namna tu wanavyotaka ku-gain political advantages juu ya ushoga ndipo utaliona. Hivi Membe hajui kuwa ktk masuala ya ushoga Ulaya na Marekani hakuna vyama vyenye itikadi tofauti kimsingi?
Halafu mi sioni tofauti ya dhambi ya uzinifu na ushoga. Kama vile nisivyoona haja ya tofauti kati ya dhambi hizo na uuaji, ubakaji na ufisadi. Hivi hasa Membe na ccm wanataka kusema nini hapa?
Tetere
umakini wachadema uko ndani ya ilani yake. Chadema si mshauri wa chama tawala. Wajibu na majukumu yetu yetu kama chama cha upinzani yanajulikana. Ukitutaka tutoe ushauri hututendei haki.