Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,028
- 52,505
- Thread starter
- #61
ahahaa kwahiyo wewe kila kitu unakula?Munasemaga hivo hivo
ahahaa kwahiyo wewe kila kitu unakula?Munasemaga hivo hivo
He,heh...Sio kwa Jr trust me
Njoo tu, utapata hao wa Ziwani. Nataka tu roho yako iridhike.dar kunba samaki sana me samaki wachumvi siwapendi labda wa ziwani
eheeee ayaNjoo tu, utapata hao wa Ziwani. Nataka tu roho yako iridhike.
Tunashushia na hii kitu.
Chukua usafiri utanikuta hapa, mwambie driver nitamlipa huku huku.eheeee aya
Hahahhasante sana mkuu chakula gani kitamu maana majina ya kizungu naweza agiza tena kitu sikijui kumbe makande tena
Ukoloni Wako huko hukoHii ndiyo tabu yetu watz yaani mtu siku akipata anakula mpaka anasahau kesho ndiyo kubwa anakula kisado kizima siku moja.
vip huhitaji campnyasante sana mkuu chakula gani kitamu maana majina ya kizungu naweza agiza tena kitu sikijui kumbe makande tena
Mhhhhhhh hii hadi mimi imenigusaUsijali pesa yake matumizi. Nzi kufikia kwenye kidonda haki yake. Ukitaka hata mwezi mzima nipo tayari mama. Pia uwabebee na wana nyumbani.

Yalaaaaa mambo yangu haya...

Duuuuuh hizi offer zote za miss jamani?Njoo twende Masaki kuna chimbo limetuli wanajua kutengeneza samaki siyo mchezo.

Kilwa Road Pub mgulani Karibu Siku moja tule tufurahi tudumishe JF friends na group la JF friends WhatsappYalaaaaa mambo yangu haya...
Pembeni chips,mayai,juice weeee![]()
Ndio hivyo imekugusa lakini offer imeenda kwa miss. Weye utakula kwa kusikia tu.Mhhhhhhh hii hadi mimi imenigusa![]()
![]()
![]()
Nenda Capetown Fish Market off Kimweri avenue msasani ukamalize mshahara wako. Nenda na rafiki zako wawili mtainjoi sana.raha jipe mwenyewe wanaume tunawaonea tu usawa huu wa magufuli
leo nimepata mshahara wanasema tumia pesa ikuzoee nataka leo nikae mahali nipige msosi wa maana nimechoka kujipikia makande huku nadanganya wali samaki
wapi dar wanapika chakula kizuri na kitamu iwe hoteli ,mgahawa au mama ntilie
naombeni ramani wadau