Chakula kitamu kinapatikana wapi ?

Chakula kitamu kinapatikana wapi ?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,862
raha jipe mwenyewe wanaume tunawaonea tu usawa huu wa magufuli
leo nimepata mshahara wanasema tumia pesa ikuzoee nataka leo nikae mahali nipige msosi wa maana nimechoka kujipikia makande huku nadanganya wali samaki
wapi dar wanapika chakula kizuri na kitamu iwe hoteli ,mgahawa au mama ntilie
naombeni ramani wadau
 
Tuwasiliane nikupeleke chimbo la mapochopocho ya ukweh...!
1475245541810.jpg
1475245550649.jpg
 
raha jipe mwenyewe wanaume tunawaonea tu usawa huu wa magufuli
leo nimepata mshahara wanasema tumia pesa ikuzoee nataka leo nikae mahali nipige msosi wa maana nimechoka kujipikia makande huku nadanganya wali samaki
wapi dar wanapika chakula kizuri na kitamu iwe hoteli ,mgahawa au mama ntilie
naombeni ramani wadau
Nenda Mokka City Cafe and Lounge MOKA CITY CAFE AND LOUNGE
Wana chakula kizuri sana na kwa bei nafuu (relatively) ukilinganisha na migahawa yenye hadhi kama hiyo na iliyo katikati ya mji.
 
Kitamu cha wizi tuu. Kama vipi miye nipo ready kutoa kila sababu za kuruhusiwa kutokuwepo hadi J2 jioni. Upo tiyari??
[emoji15] [emoji15] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
raha jipe mwenyewe wanaume tunawaonea tu usawa huu wa magufuli
leo nimepata mshahara wanasema tumia pesa ikuzoee nataka leo nikae mahali nipige msosi wa maana nimechoka kujipikia makande huku nadanganya wali samaki
wapi dar wanapika chakula kizuri na kitamu iwe hoteli ,mgahawa au mama ntilie
naombeni ramani wadau
Njoo Twende Break Point Kinondoni
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Mzee hao samaki adimu saana...wanapatikana wapi???
 
Ni pm nikupeleke sehemu ambayo hutajutia. Nitajilipia mwenyewe usije kuona nataka kukutia short.
 
Back
Top Bottom