Unakula msosi gani leo?

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,912
PAGE I
Chakula ukikizingatia unaweza kuenjoy sana maisha siyo kula kula tu. Ila jua nini wewe roho yako inapenda na unataka uleje na kipikweje.

Wapo watu wengi wana hela ila hawaenjoy kabisa maana hawajui chakula kizuri kinapatikana wapi au kinatengenezwaje! Binafsi nimepata tabu sana kujifahamu kwenye chakula kwasababu nachukia sana vyakula vile vya routine kama ugali sijui wali nk.

Mi misosi yangu ni
1. Mtori wa nyama
2. Supu ya kuku
3. Supu ya samaki Sato au sangala
4. Nipate tikikiti maji
5. Soseji
6. Maboga ya kuchemsha (mara nyingi huyaona hotelini)

Tuambie wewe unakula nini leo? Uwasaidie wasiojua wale nini na pesa wanayo?
IMG_3217.jpg
 
Back
Top Bottom