Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,725
- 830,788
ahaha acha tuMshahara wamagu woote unaishia hapo
hao samaki vipi sema hilo chimbo basi
Naweza lipia vyote. Asije ruka akaona mtego bure ndio maana nikasema hivyo. Maana amesema mshahara umetoka leo.kila mtu analipia chake au utalipia vyote?


Ghetto kwanguhao samaki vipi sema hilo chimbo basi

ahahaa wewe utanifaa sana nitachukua hadi take away ya keshoNaweza lipia vyote. Asije ruka akaona mtego bure ndio maana nikasema hivyo. Maana amesema mshahara umetoka leo.![]()
hapana mimi sinywi mkojo wa shetanivp urabu hautak....?.?
waiter zungusha tena![]()
![]()
Usijali pesa yake matumizi. Nzi kufikia kwenye kidonda haki yake. Ukitaka hata mwezi mzima nipo tayari mama. Pia uwabebee na wana nyumbani.ahahaa wewe utanifaa sana nitachukua hadi take away ya kesho
Njoo twende Masaki kuna chimbo limetuli wanajua kutengeneza samaki siyo mchezo.kila mtu analipia chake au utalipia vyote?
raha jipe mwenyewe wanaume tunawaonea tu usawa huu wa magufuli
leo nimepata mshahara wanasema tumia pesa ikuzoee nataka leo nikae mahali nipige msosi wa maana nimechoka kujipikia makande huku nadanganya wali samaki
wapi dar wanapika chakula kizuri na kitamu iwe hoteli ,mgahawa au mama ntilie
naombeni ramani wadau
Duu hiyo meza imechoka kwa kusuguliwa

hizi sio taste zangu kaka
acha uchochezi paul sina lengo bayaThat's a 100% masculine tone, but vatos will still mack. Can't be too damn careful out here, man.
ahahaa so tujiandae wangapi?Usijali pesa yake matumizi. Nzi kufikia kwenye kidonda haki yake. Ukitaka hata mwezi mzima nipo tayari mama. Pia uwabebee na wana nyumbani.
Nenda Merry Brown posta mpyaraha jipe mwenyewe wanaume tunawaonea tu usawa huu wa magufuli
leo nimepata mshahara wanasema tumia pesa ikuzoee nataka leo nikae mahali nipige msosi wa maana nimechoka kujipikia makande huku nadanganya wali samaki
wapi dar wanapika chakula kizuri na kitamu iwe hoteli ,mgahawa au mama ntilie
naombeni ramani wadau