Gharama za kula kwa mama ntilie ni ndogo kuliko kujipikia

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,577
44,814
Kwa mama ntilie mzuri asubuhi chai ya 1000 Inatosha, mchana chakula kizuri katika cafeteria nyingi ni 1500 au 2000 Tena unakuta ugali Safi wenye mboga zote muhimu maharage, mboga za majani, bamia, nyanya chungu, kabejiau dagaa... jioni unaweza kupata wali wako au ugali 1000-2000 wenye nyama na mboga za majani na maharage...kwa siku 5000 kwa mwezi utatumia chini ya 150000.

Lakini ukisema ujipikie mwenyewe kwa wale ma single boy au single girl ambao bado ni watafutaji wanaishi kigeto geto itakulazimu gesi 20000, mkaa let's say wa 10000, mchele kilo tano 10000, unga kilo tano 6000, mafuta ya kula 15000, maharage kilo tano 10000, mboga za majani kwa mwezi 15000, karoti na hoho zimepanda Bei Sasa hivi karoti 400 hoho 300 jumla kwa mwezi 20000, bado nyanya za jero ka mwezi 15000, vitunguu kwa mwezi 10000, sukari 5000 na mengineyo Kama vile majani, viungo e.t.c. let's say 10000 JUMLA INAKUJA KARIBU ZAIDI YA LAKI NA NUSU.hapo bado uoshe vyombo usugue masufuria ukoko huku wapangaji wa kike wakikuona NI Soo hasa hizi nyumba za chumba kimoja na hapo uwe na muda wa kupika sio chini ya dakika 40.

Hitimisho: Kwa jinsi gharama za maisha zinavyopanda na ongezeko la Bei Karibu kila bidhaa Basi naona Bora mtu utafute cafeteria nzuri unawapa kabisa hela ya mwezi ya kula Kama huwezi kukaa na hela na una matumizi mengi. Kingine NI kwamba msosi wa kujipikia mwenyewe wengi wanadai Haupati appetite ya kula. Na Kama kujipikia mwenyewe Basi napenda Sana makande labda na ndizi viazi nyama ambao naimani ntakula two meals.. Kama Leo nimepika makande yenye mchanganyiko wa maharage, mahindi, njugu, choroko na karanga. Ni matamu balaa naweza kukifanya kuwa chakula changu kikuu.

NB: Maada inahusu wale msio na familia NI kwa ma single boy au single girl waishio wenyewe geto. Nawasilisha
View attachment 2159689
 
Kwa mama ntilie mzuri asubuhi chai ya 1000 Inatosha,mchana chakula kizuri katika cafeteria nyingi ni1500 au 2000 Tena unakuta ugali Safi wenye mboga zote muhimu maharage,mboga za majani,bamia,nyanya
Raha ya kupika mwenyewe unajipimia kama nyama minofu ya kutosha.

Mimi wakati naishi single enzi hizo gas mtungi mkubwa ulikuwa wakata miez saba. Now kila ikifka 22 au 23 kila mwezi lazima mtungi ukate.

Maisha yalikuwa safi sana kwakweli. Nimemiss hizo zama
 
Ukijipikia mwenyewe kwanza unakula msosi wa kushiba, pili wenye ladha kingine gharama zako hazina ukweli kihivyo gesi kibachela unaweza tumia takribani miezi mi3.

Mfano. Mimi nlinunua gesi mtungi mdogo=49000 11/2021 imeisha wiki iliyopita mafuta lita 3=16000 toka 12/2021 bado nadunda nayo na mchele kilo 10=16000 toka 11/2021 umeisha majuzi baada ya msela wngu kunitembelea. Nkipika maharage jua ni robo 600 nayo natumia siku 2 apo natia nyanya, kitunguu na peanut butter imetoka sometime mayai na ugali ambao nanunuaga unga kilo 10=9000

NB: Nashindwa kuandika vizuri Lakini kujipikia mwenyewe kuna faida sana labda ungesema kuosha vyombo ndo kazi ya kufanya uku UNATUKANA MOYONI
 
Kwa mama ntilie mzuri asubuhi chai ya 1000 Inatosha,mchana chakula kizuri katika cafeteria nyingi ni1500 au 2000 Tena unakuta ugali Safi wenye mboga zote muhimu maharage,mboga za majani,bamia,nyanya chungu,kabejiau dagaa...jioni unaweza kupata wali wako au ugali 1000-2000 wenye nyama na mboga za majani na maharage...kwa siku 5000 kwa mwezi utatumia chini ya 150000.

Lakini ukisema ujipikie mwenyewe kwa wale ma single boy au single girl ambao bado NI watafutaji wanaishi kigeto geto itakulazimu gesi 20000,mkaa let's say wa 10000,mchele kilo tano 10000,unga kilo tano 6000,mafuta ya kula 15000, maharage kilo tano 10000,mboga za majani kwa mwezi 15000,karoti na hoho zimepanda Bei Sasa hivi karoti 400 hoho 300 jumla kwa mwezi 20000,bado nyanya za jero ka mwezi 15000,vitunguu kwa mwezi 10000,sukari 5000,na mengineyo Kama vile majani,viungo e.t.c. let's say 10000 JUMLA INAKUJA KARIBU ZAIDI YA LAKI NA NUSU.hapo bado uoshe vyombo na uwe na muda.

Hitimisho:kwa jinsi gharama za maisha zinavyopanda na ongezeko la Bei Karibu kila bidhaa Basi naona Bora mtu utafute cafeteria nzuri unawapa kabisa hela ya mwezi ya kula Kama huwezi kukaa na hela na una matumizi mengi.
NB:maada inahusu wale msio na familia NI kwa ma single boy au single girl waishio wenyewe geto.nawasilisha
Hesabu zako za hovyo. Utakuwa unammendea binti msaidizi wa mamalishe tu. Huna lolote!😂😂😂😂
 
Naona gharama ni sawa, na kupika mwenyewe unaweza ukapunguza gharama zaidi, kwani unanunua mara moja, na hata usipokuwa na pesa taslimu, utakuwa salama.
 
Ukijipikia mwenyewe kwanza unakula msosi wa kushiba,pili wenye ladha kingine gharama zako hazina ukwel kihivyo gesi kibachela unaweza tumia takribani miezi mi3.

Mfano. mimi nlinunua gesi mtungi mdogo=49000 11/2021 imeisha wiki iliyopita mafuta lita 3=16000 toka 12/2021 bado nadunda nayo na mchele kilo10=16000 toka 11/2021 umeisha majuzi baada ya msela wngu kunitembelea. Nkipika maharage jua ni robo 600 nayo natumia siku 2 apo natia nyanya, kitunguu na peanut butter imetoka sometime mayai na ugali ambao nanunuaga unga kilo 10=9000

NB:Nashindwa kuandika vizuri Lakin kujipikia mwenyewe kuna faida sana labda ungesema kuosha vyombo ndo kazi ya kufanya uku UNATUKANA MOYONI
Itapendeza Sana ukioa mkuu unafeli wapi?kuoa sio mpaka harusi na vigelegele vuta mtu mwingine hapo Tena chukua ambaye sio mfanyakaz/mtumishi labda awe mjasiriamali mdg muweke ndani ufanyiwe na usafi Huku ukiromba utakavyo..sorry kwa kutoka nje ya maada ila imenikumbusha kipindi naishi na mpenz Wangu kwa kweli life was so simple gharama ndogo halafu huna kazi ya kufanya zaidi ya kutafuta pesa na kumpangia Nini akupikie..
 
Lakini ukisema ujipikie mwenyewe kwa wale ma single boy au single girl ambao bado NI watafutaji wanaishi kigeto geto itakulazimu gesi 20000,mkaa let's say wa 10000,mchele kilo tano 10000,unga kilo tano 6000,mafuta ya kula 15000, maharage kilo tano 10000,mboga za majani kwa mwezi 15000,karoti na hoho zimepanda Bei Sasa hivi karoti 400 hoho 300 jumla kwa mwezi 20000,bado nyanya za jero ka mwezi 15000,vitunguu kwa mwezi 10000,sukari 5000,na mengineyo Kama vile majani,viungo e.t.c. let's say 10000 JUMLA INAKUJA KARIBU ZAIDI YA LAKI NA NUSU.hapo bado uoshe vyombo na uwe na muda.

Nadhani kuosha vyombo ni changamoto kubwa kwa sisi wengi,,kuliko hata hizo gharama
 
Hesabu zako za hovyo.Utakuwa unammendea binti msaidizi wa mamalishe tu.Huna lolote!
Hapana mkuu Mimi Nimewahi kupitia yote kipindi naanza kazi Nilikuwa nakula mgahawani.baadae nikashauriwa nunua vitu ndani Sasa nikawa nashindwa kujipikia kwa sababu ya muda na pia Mara nyingi nakuwa site Wilayani nikaamua kuoa (karibu tukae) sio harusi kbs means hata wazazi hawakujua..

Ikaenda ikaenda kweli nikawa na save pesa zinabaki.. issue alivyoondoka mwali baada ya kuitwa na mama yake hakurudi Mimi nikasema acha naendelea kujipikia ila kila nikienda dukani au gengen nakuta vitu bei juu Karibu natumia 3000 kwenye viungo TU na mboga wakati jirani napofanyika kazi chakula buku TU Tena ugali wa Dona wa maana
 
Kwa mama ntilie mzuri asubuhi chai ya 1000 Inatosha,mchana chakula kizuri katika cafeteria nyingi ni1500 au 2000 Tena unakuta ugali Safi wenye mboga zote muhimu maharage,mboga za majani,bamia,nyanya chungu,kabejiau dagaa...jioni unaweza kupata wali wako au ugali 1000-2000 wenye nyama na mboga za majani na maharage...kwa siku 5000 kwa mwezi utatumia chini ya 150000.

Lakini ukisema ujipikie mwenyewe kwa wale ma single boy au single girl ambao bado NI watafutaji wanaishi kigeto geto itakulazimu gesi 20000,mkaa let's say wa 10000,mchele kilo tano 10000,unga kilo tano 6000,mafuta ya kula 15000, maharage kilo tano 10000,mboga za majani kwa mwezi 15000,karoti na hoho zimepanda Bei Sasa hivi karoti 400 hoho 300 jumla kwa mwezi 20000,bado nyanya za jero ka mwezi 15000,vitunguu kwa mwezi 10000,sukari 5000,na mengineyo Kama vile majani,viungo e.t.c. let's say 10000 JUMLA INAKUJA KARIBU ZAIDI YA LAKI NA NUSU.hapo bado uoshe vyombo na uwe na muda.

Hitimisho:kwa jinsi gharama za maisha zinavyopanda na ongezeko la Bei Karibu kila bidhaa Basi naona Bora mtu utafute cafeteria nzuri unawapa kabisa hela ya mwezi ya kula Kama huwezi kukaa na hela na una matumizi mengi.
NB:maada inahusu wale msio na familia NI kwa ma single boy au single girl waishio wenyewe geto.nawasilisha
Labda sio kwa Dar hii,
Chakula unachopewa ni Cha kupashia tumbo na kuchochea njaa tu.
Labda kwa wale wenye magheto maeneo ya Mabibo,hasahasa karibu na hostel ndo watafaidika na wazo lako!!

But all in all umenena!! Kina ukweli ndani take kama kusave muda!!
 
Kwa mama ntilie mzuri asubuhi chai ya 1000 Inatosha,mchana chakula kizuri katika cafeteria nyingi ni1500 au 2000 Tena unakuta ugali Safi wenye mboga zote muhimu maharage,mboga za majani,bamia,nyanya chungu,kabejiau dagaa...jioni unaweza kupata wali wako au ugali 1000-2000 wenye nyama na mboga za majani na maharage...kwa siku 5000 kwa mwezi utatumia chini ya 150000.

Lakini ukisema ujipikie mwenyewe kwa wale ma single boy au single girl ambao bado NI watafutaji wanaishi kigeto geto itakulazimu gesi 20000,mkaa let's say wa 10000,mchele kilo tano 10000,unga kilo tano 6000,mafuta ya kula 15000, maharage kilo tano 10000,mboga za majani kwa mwezi 15000,karoti na hoho zimepanda Bei Sasa hivi karoti 400 hoho 300 jumla kwa mwezi 20000,bado nyanya za jero ka mwezi 15000,vitunguu kwa mwezi 10000,sukari 5000,na mengineyo Kama vile majani,viungo e.t.c. let's say 10000 JUMLA INAKUJA KARIBU ZAIDI YA LAKI NA NUSU.hapo bado uoshe vyombo na uwe na muda.

Hitimisho:kwa jinsi gharama za maisha zinavyopanda na ongezeko la Bei Karibu kila bidhaa Basi naona Bora mtu utafute cafeteria nzuri unawapa kabisa hela ya mwezi ya kula Kama huwezi kukaa na hela na una matumizi mengi.
NB:maada inahusu wale msio na familia NI kwa ma single boy au single girl waishio wenyewe geto.nawasilisha
Hapo unaongelea mtu mwenye uhakika wa kupata elf 10, kwa siku kwasababu kupika inamaana unatumia hela nying mwanzon baada ya hapo full bata unajkadria mwenyewe kulingana na uwezo wako wa life.

Kama una kilo20 mchele, unga klo 10, dagaa del 1, na kahela ka mboga addition na ka mboga kazur, hapo mwez kama n single boy mweny milo m2

Hayo maswala ya gas na masela wake hua ni kama mar1 kwa miez mitatu kama n mtumiaj mzur.

Kwa ujumla kutumia lak2 kwa geto labda kama unakula milo mi4 /day
 
Kwa mama ntilie mzuri asubuhi chai ya 1000 Inatosha,mchana chakula kizuri katika cafeteria nyingi ni1500 au 2000 Tena unakuta ugali Safi wenye mboga zote muhimu maharage,mboga za majani,bamia,nyanya chungu,kabejiau dagaa...jioni unaweza kupata wali wako au ugali 1000-2000 wenye nyama na mboga za majani na maharage...kwa siku 5000 kwa mwezi utatumia chini ya 150000.

Lakini ukisema ujipikie mwenyewe kwa wale ma single boy au single girl ambao bado ni watafutaji wanaishi kigeto geto itakulazimu gesi 20000,mkaa let's say wa 10000,mchele kilo tano 10000,unga kilo tano 6000,mafuta ya kula 15000, maharage kilo tano 10000,mboga za majani kwa mwezi 15000,karoti na hoho zimepanda Bei Sasa hivi karoti 400 hoho 300 jumla kwa mwezi 20000,bado nyanya za jero ka mwezi 15000,vitunguu kwa mwezi 10000,sukari 5000,na mengineyo Kama vile majani,viungo e.t.c. let's say 10000 JUMLA INAKUJA KARIBU ZAIDI YA LAKI NA NUSU.hapo bado uoshe vyombo na uwe na muda.

Hitimisho:kwa jinsi gharama za maisha zinavyopanda na ongezeko la Bei Karibu kila bidhaa Basi naona Bora mtu utafute cafeteria nzuri unawapa kabisa hela ya mwezi ya kula Kama huwezi kukaa na hela na una matumizi mengi.

NB:maada inahusu wale msio na familia NI kwa ma single boy au single girl waishio wenyewe geto.nawasilisha
Gharama za matibabi ni ghali kuliko kula mto mzuri
 
Itapendeza Sana ukioa mkuu unafeli wapi?kuoa sio mpaka harusi na vigelegele vuta mtu mwingine hapo Tena chukua ambaye sio mfanyakaz/mtumishi labda awe mjasiriamali mdg muweke ndani ufanyiwe na usafi Huku ukiromba utakavyo..sorry kwa kutoka nje ya maada ila imenikumbusha kipindi naishi na mpenz Wangu kwa kweli life was so simple gharama ndogo halafu huna kazi ya kufanya zaidi ya kutafuta pesa na kumpangia Nini akupikie..
hao wakuvuta tu wapo shida wataniongezea majukumu yangu tu. Me napenda aje tumalizane kila mtu ashike njia yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom