Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Sasa hivi pale msikitini usiku wanauza viuno vya kuku,miguu na bagia za dengu
Na kurudi huku kituoni kuna Asha muuza kuku yule naye ana visa wanachuana na yule pale pembeni ya muuza supu
 
Na kurudi huku kituoni kuna Asha muuza kuku yule naye ana visa wanachuana na yule pale pembeni ya muuza supu
IMG-20180211-WA0010.jpg
 
Ndio kijiji nilichokulia kilikuwa funika bovu na palikuwa na njiapanda mbili zinakutana.. Hivyo kulikuwa na muunganiko wa njia sita kwa wakati mmoja... Mito miwili nayo ilikuwa inakutana hapo na madaraja mawili... Ni sehemu ya ajabu kwakweli... Sasa hapo mahali nikiamua kuandika kitabu sijui nitajaza kurasa ngapi
Anzisha series humuhumu
 
Ooh!! sikuwa najua hili...hongera sana kwa kuwa mpambanaji...na asante kwa ukaribisho pia...
Wameshazeeka hao hawauzi tena.

Njoo nikuuzie mie nadeliver mjini kwa order.

Pilau
Wali
Ndizi
Makande
Makange ya kuku

Vitoweo
Nyama ya kuku,mbuzi,ng'ombe zote roast

Kabichi,kachumbari,mchicha na kisamvu.
 
Kuna bibi mmoja anaitwa bibi bonge pale mbele ya manjunju (luku) aisee anauza dagaa.

Kuna msururu kama wa nmb.

Mimi siku hio niliwanunua sikuwapenda na sijarudi tena ila watu wanatoka mbali sana kujazana kwa yule bibi.

Na kuna wasambaa pale royo wanauza supu kunajaa balaa kila asubuhi.
Wachunguze aisee.
Mimi siendi tena kwa wale wasambaa manake kila siku lazima niende pale.
Nina uhakika kuna kitu
 
Nilijua stori yako itaishia kwenye hayo.. eeeeh
Ila huku nasubiria kuanza kuyasoma nilikuwa najiuliza ikiwa ni enzi zako vipi haukumgundua? Au alisingiziwa? Ulikuwa hujafundishwa yale?

Mimi kwa habari za kusikia kwa watu nilikutana nao huko nje ya nchi.. na haya niliyasikia sana wao wanajua kushtuka ukiwa unajua yapo. Tupe habari ya wafanya pati kila mara au mialiko ya kula kula nao mmmmh.. kama ulishaiandika.. hiyo tena na JPM kubana ikoje siku hizi nchini?

mshana jr
 
Back
Top Bottom