Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Ata ivo nakupongeza sana mada zako zinatufungua macho tulio wengi ni story lakin zimebeba ujumbe unaojitoshereza . bigup
 
Mshana na wewe kwa vituko hujambo. Maadam hatudhuriki acha tuendelee tu kula!
 
Makuzi unamaanisha ulikulia kwenye anga za washirikina?
Ndio kijiji nilichokulia kilikuwa funika bovu na palikuwa na njiapanda mbili zinakutana.. Hivyo kulikuwa na muunganiko wa njia sita kwa wakati mmoja... Mito miwili nayo ilikuwa inakutana hapo na madaraja mawili... Ni sehemu ya ajabu kwakweli... Sasa hapo mahali nikiamua kuandika kitabu sijui nitajaza kurasa ngapi
 
Ata ivo nakupongeza sana mada zako zinatufungua macho tulio wengi ni story lakin zimebeba ujumbe unaojitoshereza . bigup
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji120] [emoji120]
 
Mshana hujalala saa hizi wafanya nini, mimi niko sungusungu!
 
Ndio kijiji nilichokulia kilikuwa funika bovu na palikuwa na njiapanda mbili zinakutana.. Hivyo kulikuwa na muunganiko wa njia sita kwa wakati mmoja... Mito miwili nayo ilikuwa inakutana hapo na madaraja mawili... Ni sehemu ya ajabu kwakweli... Sasa hapo mahali nikiamua kuandika kitabu sijui nitajaza kurasa ngapi
Nadhani ni Kongo sio Tanzania Kwa maelezo yako inaonyesha eneo hili lina fly over za asili
 
mshana jr kwenye hii habari haujatutendea haki...inamaana haukuonja kabisa wale tatu mzuka tuweke kando mama yao...sio kwa sifa hizo fwaza.
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji13] [emoji14] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] sio muktadha wa mada [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Tano kwa tano roja. Over
 
Inawezekana maana Tz nikubwa lakin swali fikirishi pamoja na kua mteja pale Wa Chakula lakini mabinti zake walikuvutia zaidi kama unavyosimulia yawezekana shemeji yetu alipatikana hapo na ikawa chanzo cha wewe kuwa mjuzi wa aya mambo maana nirahisi kuchota maarifa kwa Mrs?
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Back
Top Bottom