Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Akimaliza kuuza yeye jioni anakuja mama Raha(laa)
Mzigua balaa yule
 
Huwa Najiuliza sana je hata hizo chai za vibandani tunafanyiwa haya? View attachment 693279imagine ndio kaambiwa na mganga wake afanye hivi.. Je atakataa? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Duh !!! Halafu wewe jamaa wewe [emoji12] [emoji12] [emoji12] . Msosi wangu wote lunch na dinner, nawategea kulingana na shughuli zangu Nijigogoe ?[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom