Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Kushonwa bila Bila ganzi aisee sipati picha maumivu yake, Umenikumbusha Bosch siku hizi kwisha habari yake,Hivi gazeti la jitambue ndio liliondoka na muasisi wake Munga, nakumbuka ofisi yake ilikuwa maeneo ya Bosch kwenye bondeni pale, Nimepamiss Kona, Rombo, Kibo, msewe baruti
 
Hapo hapo zilikufa zile ofisi
 
Maudhui ya hii picha yana ukakasi na uhalisia wake unatia shaka ila hiki chaweza kuwa kiambishi cha yale tunayotendewa katika uhalisia wake
5d6a00083ddaccf969dd76597ba954b8.jpg

Mwisho wa siku mnajikuta mnapanga foleni kwa utamu wa chapati ambazo muuzaji hathubutu kuwapa wana FAMILIA yake
 
Mshana Jr, usawa huu hali ilivyo - kweli tutaendelea kula au ndo umepigilia msumari wa kutukataza kula kwa hawa wamama?
[emoji15] [emoji3] hapana bado wana msaada mkubwa sana... Ila makinika

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom