Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Hizo mambo zipo sn kwa wafanyabiashara wengi sana, sio vyakula tu. Wakishajikuta kuna maduka matano sehemu moja, badala ya kupambana kuboresha huduma, wao wanatafuta POWERBANK ili kupata wateja wengi. Hapa kunakuwa na unfair competition kwa sababu wengine hawaamini hizo ishu.
 
Ngoja na mm leo nijaribu kuyaunga mavi ya mbuzi na nazi nione ladha yake huenda nikaokoa gharama
 
Mungu aingilie kati haya mambo maana hali si shwari kabisa.
Utakwepa mgahawani /hoteleni lakini utayapata kwa mchepuko au mke wako.

Dunia haina mambo mengi ila wanadamu ndiyo wenye mambo zaidi
 
Mkuu. Nackia wanawake weupe warefu ndo wanaoongoza kuamini ushirikina na hata kwenda kuutumia kwa biashara? Na wanawake wanaoonekana wazuri kwa muonekano kupita kiasi wanaroho za kutumiwa na shetani hivyo huwa hupelekea KUTOKUWA NA WEREDI (ZERO BRAIN) Kichwani ,NMEAMBIWA NA MZEE MTAAN,je ni kweli ? Na ni kwanini?

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Ila huu mchezo inaonekana unatumiwa na mamantile wengi sana,kuna wakati huwa naapa kabisa kuwa leo siendi kula mgahawa ule tena lakini ikifika muda wa lunch unajikuta huyo unaongoza kwenda kula ni kama kuna mtu anakuita uende hahaha.....Umenikumbusha mbali sana Mshana Jr
 
mshana jr;
Yaani hilo chujio ni kweli kabisa. Wale walevi wa mambo yalee ya kienyeji ka vile; mbege, dengeluwa, mnazi na kangara wanajua hili jambo ni kawaida kabisa.
Majimama mengi yanayouza pombe hizo huutumia mchezo huu sana. Pia wakaanga chapati na vitumbua. Utashangaa haamki hapo alipokaa tangu aanze hadi amalize kumbe chapati ya kwanza kaikalia ingali na moto wake huku nguo ile ndogo hana. Hata umfanyeje, haamki hapo alipoketi. Wateja wanamiminika ka maji hadi chapati ya mwisho kilo 20 za unga amemaliza
 
Uchawi mkubwa uliokua unawavuta watu hapo ni shepu la huyo mama mdigo na wanawe. Wabongo hujawajua saikolojia yao Mshana, wewe fungua biashara kama ya Restaurant, Bar, duka la vyakula au nguo halafu weka wadada wenye shepu kama za huyo mama Mdigo tena wawe wachangamfu na wanaopenda utani uone wateja hasa wanaume watavokua wanajazana hapo kwenye biashara yako. Yupo jamaa yangu muhasibu kwenye wizara flani anapenda sana wadada wenye msambwanda alijikuta ananunua fenicha za million mbili bila kua na mpangilio au budget nazo(Ilikua enzi ya Mkwere lakini). Kisa kwenye hilo duka la Pugu Road yupo dada Mashaallah kwa umbo na sauti, halafu anakupokea anakuzuungusha kwenye bidhaa mpo wawili tu!
 
Back
Top Bottom