CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

umeona eeh? Husb nilishawahi kukwambia kama una akili sana?
Siku ukiniambia hivyo nitahisi naibiwa lol! haya mi naenda kulala kwaherini mi sina wasiwasi wala wivu najiamini na namuamini,haya kloro we undelea kunawa tu lol!
 
Siku ukiniambia hivyo nitahisi naibiwa lol! haya mi naenda kulala kwaherini mi sina wasiwasi wala wivu najiamini na namuamini,haya kloro we undelea kunawa tu lol!

tulale sasa.
Kloro usiku mwema.
Twiiii! Tumesign out.
 
Dah!! I thot mimi tu ambae sina mzuka wa kulala.... BUT it seems Co-worker Uporoto, JF Lawyer Klorokwin na niece Husny mlinizidi kete....lol.. mimi penda nyie...
 
nipo anti. Nilikuwa nimesahau kuoga.
Kama kuna mtu hajaoga haruhusiwi kuchakachua sredi, atatunukisha majasho.

Acha kujifanya haujaniona, si useme tu bana.

Halaf mzembe leo nimeondoka na singlendi tu, yaani ukiniona hauwezi kunitofautisha na lonado di kaprio. Kila ninapopita vidada vinajikwaa.
kulaleki!
wee zembea tu

Hahahah! Nilikuwa nacheki mpira si unajua tena sisi ndiyo wadau wa MAN UTD..

Chana bateta wewe utaki kupeka, weka basi na wewe Avatar...lol.. Utapendeza

mzembe nakuona unavuja jasho hadi unatuloweshea sever za jeief.

natafuta avatar la njemba moja niweke hapo. Lol.
Si nilikwambia cjaelewa ile kitu. Unifundishe vizuri bana.

Usijali takufundisha njema la nini bana, weka avatar ya miss Mpwapa...

swahili yangu sio muzuri, bandiko yako swahili ngumu sana

mimi pia ongea sahili ya bombay. Veve sijui naongea pumba gani.

Sweety wajameni nakusubiri huku kwa room muda mrefu we unasumbuana na kloro na timu yake ya wakeshaji, khaah!

Kamanda bana! si nilikuacha tip top unapeleka mzinga

khaaa! Za kunisusa mpenzi?

Hii ni robo tu!! Nimekubali kua kweli mwastahili zawadi mmeitendea haki thread.....lol
 
Huu myuziful sredi ulinipitaje wallah?

Mi napenda sredi zenye maslahi kwa taifa kama hizi.

Siyo kila siku ........sijui Lema kafanyaje.......Sijui Nape kasema nini..... sijui Lowasa kasali wapi ........au JK kaenda wapi........ khaa!

Baada ya kusema hayo: Someni waraka huu wenye maslahi na tija kwa maendeleo ya taifa.:

Niko nasoma nje ya Tanzania huku nifanya kazi katika company fulani nikilipwa mshahara dollar 1,800 kwa mwezi,najigharamia mwenyewe masomo yangu kwa 50% nyingine ni sholarship na gharama nyingine za maisha.
Nimeacha mke na mtoto mmoja nyumbani.mke wangu najitahidi kumtumia dollar 1,000 kila mwezi.yeye anafanya kazi katika shirika fulani Tanzania na anapokea mshahara kiasi fulani mara zote analalamika pesa ninayomtumia haitoshi imagine juzi nimetuma kwa exchange rate ya Tanzania alipokea kama Tsh,1,800,000 bado ananipigia cim na kunigombeza pesa haitoshi kwenye matumizi yake ya maisha na mtoto sasa jamani huyu ni mke au mzigo?nimemweleza hari halisi ya maisha ya huku haelewi naishi kwa kujibana ili kile kinachopatikana tukiserve lakini wapi.nahisi kama nilikosea kwenye uchaguzi au anafanyia nini hiyo pesa ya kila mwezi au anaamua kunifanyia ushenzi tu.nimemwambia kuna watu wanalia mchana na usiku wanakosa bahati kama hiyo lakini haelewi.ila ninafikiria kumchukua mtoto wangu akalelewe na mama yangu mzazi au nimchukue nihishi naye ..nahisi huyu mwanamke nimzigo tena haubebeki..nasiyo kwamba kuna assets za ndani ananunua nyumba hiko full hadi usafiri nilimpatia wa kutumia.

Jamani mke wa namna hii nimfanyeje?
 
hiyo basi ni bomba kama anapenda soccer! Hivi unaweza kukuta mwanaume asiyependa soccer? Kama yupo ujue atakuwa na matatizo.
Mmh,,,,hiyo selection yako ya man u?? Umetumia vigezo gan kuichagua?

Mzee anapenda Soccer mpaka ni KERO ndani akishindwa....lol..
Napenda Man-U sababu i always hear wameshinda na its the BEST team..... Vipi unanishauri otherwise??

Najaribu kufikiria namna ya kuchakachua!!

Mkuu bado unafikiria?? C'mon kumekucha saizi hivo najua akili ipo fresh......lol

Ukiona simba kaja mjini ujue ametumwa huyo.

For the 1st time nakubaliana na wewe Mwita25.... Regards from Roulette na Nyani Ngabu (my alters...)
 
Huu myuziful sredi ulinipitaje wallah?

Mi napenda sredi zenye maslahi kwa taifa kama hizi.

Siyo kila siku ........sijui Lema kafanyaje.......Sijui Nape kasema nini..... sijui Lowasa kasali wapi ........au JK kaenda wapi........ khaa!

Baada ya kusema hayo: Someni waraka huu wenye maslahi na tija kwa maendeleo ya taifa.:

Niko nasoma nje ya Tanzania huku nifanya kazi katika company fulani nikilipwa mshahara dollar 1,800 kwa mwezi,najigharamia mwenyewe masomo yangu kwa 50% nyingine ni sholarship na gharama nyingine za maisha.
Nimeacha mke na mtoto mmoja nyumbani.mke wangu najitahidi kumtumia dollar 1,000 kila mwezi.yeye anafanya kazi katika shirika fulani Tanzania na anapokea mshahara kiasi fulani mara zote analalamika pesa ninayomtumia haitoshi imagine juzi nimetuma kwa exchange rate ya Tanzania alipokea kama Tsh,1,800,000 bado ananipigia cim na kunigombeza pesa haitoshi kwenye matumizi yake ya maisha na mtoto sasa jamani huyu ni mke au mzigo?nimemweleza hari halisi ya maisha ya huku haelewi naishi kwa kujibana ili kile kinachopatikana tukiserve lakini wapi.nahisi kama nilikosea kwenye uchaguzi au anafanyia nini hiyo pesa ya kila mwezi au anaamua kunifanyia ushenzi tu.nimemwambia kuna watu wanalia mchana na usiku wanakosa bahati kama hiyo lakini haelewi.ila ninafikiria kumchukua mtoto wangu akalelewe na mama yangu mzazi au nimchukue nihishi naye ..nahisi huyu mwanamke nimzigo tena haubebeki..nasiyo kwamba kuna assets za ndani ananunua nyumba hiko full hadi usafiri nilimpatia wa kutumia.

Jamani mke wa namna hii nimfanyeje?

Habari yako Mkuu... Pole saana kwa matatizo ambayou unaona yanakuzinga.... Mie simlaumu mkeo kwa kweli... Naona tatizo liko kwako zaidi kwa vigezo hivi:

  1. Yaonesha/yawezekana tokana na kwamba ulimpenda saana mkeo ulikua unafaya kila atakalo hata kama liko nje ya uwezo wako... Kwa maisha ya sasa kaka unatuma pesa kwa mwezi 1.8 M na ni mfanyakazi na upo masomi kwa ajili ya matumizi ya kawaida na yeye anafanya kazi??? Unless otherwise kuna kitu cha Maendeleo BUT IMO kwa wanandoa wowote wale ambao ni young na watoto/mtoto inataiwa wawe makini mno na matumzi ya ndani huku wakifocus katika maendeleo....
  2. Inaonesha kua ujaonesha msimamo wako - kila asemalo kwako ni "hewalaa" huwezi hata mface OR mpigia kua ajirekebishe hali unaumia ndani kwa ndani....
  3. Mwanamke/mwanaume yeyote the way mta-treatiana mwanzo wa mahusiano ndo hivo atategemea daima umtreat.... Hivo kama ulikua unajikaza kisabuni hali uwezi ndo hapa yamekukuta....
LA KUFANYA....

Treat her like a partner... not a kid. Kaa nae chini na umueleze kwa upole kabisa....

ODM how are you dear??
 
Yaaani tunaendelea kuwekana sawa hata kwenye mambo ya usafi..........

Kwa mwanamke:
  1. Tumia intimate gels wakati wakuosha.
  2. osha zaidi na maji baridi kuliko ya moto.
  3. mara kwa mara tumia intimate wipes during the day (kama upo ofisini au unasafiri mfano, unaweza kutumia mara 2 au mara 3),
  4. ukienda haja kubwa au ndogo jifute vizuri mbele kwenda nyuma.
  5. Kama utaweza, kila uendapo haja tumia maji (pressure) alafu futa vizuri kutoa maji maji. hakikisha maji ya nyuma hayaji mbele in the process... (tricky)
  6. Vaa chupi za cotton or silk. usitumii sana synthetic material ila kama kuna ambayo imekufurahisha sana make sure ina a cotton piece pale penyewe...
  7. usitumie deodorant au mafuta sehem hizo, even the 'vaginal' deodorants.
  8. nyoa vuzi mara kwa mara (at least twice a month), hasa wakati wa period.
  9. Wakati huo hakikisha unabadilisha towel kila baadaya ya masaa 6 (or less) na kama ni tampon kila baada ya masaa 4 (or less).
  10. Avoid vaginal sex after anal sex (unless kaosha vizuri vifaa vyake).
  11. Badilisha chupi mara 2 kwa siku (or more). fua chupi as soon as you remove them, then ukitaka kuzifua tena kwa pamoja later it is fine. usivai chupi bila kuiiga pasi, usichangi chupi ambazo hazija pigwa pasi na zile zilizo pigwa. Usilale bila chupi (if possible)
  12. Avoid wandering around chupi-less, hasa kama unavaa skirt. Unakaribisha vumbi tu!
  13. Ukiona dalili yoyote ya fungus pata ushahuri wa daktari, badilisha chupi zote. wakati wa treatment tumia chupi single use (kama utaweza) au zingatia sana masharti ya usafi wa chupi.
  14. Usifanye mapenzi wakati wa treatment, na ukimaliza treatment hakikisha mpenzi wako has been treated too.
  15. Use condom (in fact nilitakiwa kuanza na hii)
  16. Osha sehem za siri kila baada ya kukutana (even between goli)
  17. Jaribu kutokunywa antibiotic bila sababu, they disturb the eco-balance ya huko chini
  18. Don't stress yourself with this list, most of it will become a natural routine. some of them are not applicable to you, some are...
Kwa mwanaume sijui...

Yaani ni Full Maushauri:

Hiyo Red: Hatari!!! Don't practice this at home!! Mungu ataamka akutie bakora!

Kwa wanaume:
1. Piga punyeto kabla hujaoga.
2. Ukishaoga futa storongo kwa taulo safi
3. Imwagie spiriti, au valuu kama spiriti iko mbali
4. Vaa Boxer iliyo safi, usivae chupi bana, kivazi cha kike hicho.
5. Ukikojoa hakikisha unatema mate
6. Baada ya kukojoa irudishe storongo kwa boxer ielekee upande wa kushoto.
7. Usinyoe vuzi, kunyoka kwawahusu wanawake. Kama waweza vuzi lisuke rasta
8. Ukifanya vaginal sex, malizia na anal sex (kusugua ili iwe safi zaidi na zaidi) Then kaoge na kuisugua kwa brashi ya nailoni, ofkozi hiyo ni baada ya kufanya kitendo namba 1 hapo juu.

Kama kuna swali, napatikana kwenye PM zaidi.
 
Husninyo hata sijui nikwambie nini ,,ila nitakucheki tuchonge kidogo..
Nilikuwa bado natafakari ndoa ya Kim K iliyodumu siku 72...
 
Habari yako Mkuu... Pole saana kwa matatizo ambayou unaona yanakuzinga.... Mie simlaumu mkeo kwa kweli... Naona tatizo liko kwako zaidi kwa vigezo hivi:
  1. Yaonesha/yawezekana tokana na kwamba ulimpenda saana mkeo ulikua unafaya kila atakalo hata kama liko nje ya uwezo wako... Kwa maisha ya sasa kaka unatuma pesa kwa mwezi 1.8 M na ni mfanyakazi na upo masomi kwa ajili ya matumizi ya kawaida na yeye anafanya kazi??? Unless otherwise kuna kitu cha Maendeleo BUT IMO kwa wanandoa wowote wale ambao ni young na watoto/mtoto inataiwa wawe makini mno na matumzi ya ndani huku wakifocus katika maendeleo....
  2. Inaonesha kua ujaonesha msimamo wako - kila asemalo kwako ni "hewalaa" huwezi hata mface OR mpigia kua ajirekebishe hali unaumia ndani kwa ndani....
  3. Mwanamke/mwanaume yeyote the way mta-treatiana mwanzo wa mahusiano ndo hivo atategemea daima umtreat.... Hivo kama ulikua unajikaza kisabuni hali uwezi ndo hapa yamekukuta....
LA KUFANYA....

Treat her like a partner... not a kid. Kaa nae chini na umueleze kwa upole kabisa....

ODM how are you dear??
Yaani mie nimesoma hapo kwa red tu.......... huko kwingine hakuna maslahi kwa taifa.

Sijambo shem.......... na ikawaje ukaanzisha myuziful sredi namna hii afu usinihabarishe? Ntakusemea!
 
Dahhhh
jina la hii thread imetulia kwa kweli..
ila nimechelewa kuchakachua..
hopeful nina muda wa kujiachia kidoncho...

Khaa!! AD Dearest... imebidi nikujibu kabla hata post ya ODM..... Ulikua wapi siku zooote hizi??? Source; Babu...

Personally nili Miss kukuona na kugongana namna hii....
 
Husninyo hata sijui nikwambie nini ,,ila nitakucheki tuchonge kidogo..
Nilikuwa bado natafakari ndoa ya Kim K iliyodumu siku 72...

First L hebu imagine mbwembwe zoooote zile??? Dah.....

Mzima wewe dear.... (nimekuona ndo nakumbuka sijatembelea G-mail)
 
Khaa!! AD Dearest... imebidi nikujibu kabla hata post ya ODM..... Ulikua wapi siku zooote hizi??? Source; Babu...

Personally nili Miss kukuona na kugongana namna hii....
Yaani taaaaaratibu naanza kuwa spare tyre!

Inauma sana aisee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom