Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,235
- 10,424
Hahahah! Nilikuwa nacheki mpira si unajua tena sisi ndiyo wadau wa MAN UTD..
Chana bateta wewe utaki kupeka, weka basi na wewe Avatar...lol.. Utapendeza
natafuta avatar la njemba moja niweke hapo. Lol.
Si nilikwambia cjaelewa ile kitu. Unifundishe vizuri bana.