CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

I am Man-U because it is the best team of the world, I am T-P Mazembe because it is the best team of Africa and I am Yanga because it is the best team of Tanzania. Na atakae bisha hili atakua anaconfirm tu superiority ya team hizi 3!

hizo timu zako zote hazina mashiko.
Man six wabovu sana..huwezi kuicompare na Liverpul, AC milan, Madrid na Barcelona when it comes tu European footbol, leave alone dunian.
TP mazembe bado wachanga sana kwenye soka la Africa..atleast Enyimba na Zamaleck.
Yanga siwez ongela cuz inafahamika tu Tz, nje ya Tz haifahamiki, atleast Simba inafahamika kidogo.
 
Watu wa sports leo naona mwanirusha tu!! Face book kasema ni Lyons Vs Madrid, hawa wa Man-U nao wanacheza pia (as in sasa hivi)??
yep! na nimewasiliana na mtangazaji mwenzangu Uporoto a.k.a "baskeli bila rust" anasema man city wanaongoza bao mbili, mtangazaji wetu wa bayern na napoli inasemekana ameporwa mic maana mpaka sasa hapatikani hewani.
 
hafu taim, manu wanaongoza kwa bao moja lililofungwa na mkimbizi flani anaitwa valencia.
nikiripoti laivu kutoka old traffodi ni mimi mtangazaji wenu a.k.a "mswaki wa jiti"

Hii imenifanya nikumbuke story ya Toilet paper na miswaki..
 
Hapo ndo pamenifanya niboreke.... yeye yupo kuangalia game, haoni wala haambiwi....lol... Nitajaribu basi kujifunza... naon moja kwa moja itabidi niingie Manchester....lol

hiyo basi ni bomba kama anapenda soccer! Hivi unaweza kukuta mwanaume asiyependa soccer? Kama yupo ujue atakuwa na matatizo.
Mmh,,,,hiyo selection yako ya man u?? Umetumia vigezo gan kuichagua?
 
I am Man-U because it is the best team of the world, I am T-P Mazembe because it is the best team of Africa and I am Yanga because it is the best team of Tanzania. Na atakae bisha hili atakua anaconfirm tu superiority ya team hizi 3!

ngoja nikuulize.....Tp Mazembe ndio wale wanaoingia na ndombolo uwanjani?....kama ni hao basi na mimi nipo Tp Mazembe....lakini kwa Man U no....
 
News Alert: Habari zilizotufikia muda mfupi uliopita kwenye studio zetu ni kwamba serikali ya bangladeshi imepandisha bei ya chumvi.
 
News Alert: Habari zilizotufikia muda mfupi uliopita kwenye studio zetu ni kwamba serikali ya bangladeshi imepandisha bei ya chumvi.

dah...hii kweli chakachua....jana ilikuwa india pilipili....leo bangladesh chumvi....e hee....wamesema ni pesa ngapi....(kwa hela ya chile plz)
 
dah...hii kweli chakachua....jana ilikuwa india pilipili....leo bangladesh chumvi....e hee....wamesema ni pesa ngapi....(kwa hela ya chile plz)
hehehe wakati tunaendelea kupokea habari, jenereta lilimaliza diesel hafla.....tuvumilieni kidogo, tutarudi hewani soon
 
Huu uzi bado unaendelea tu...ama kweli leo hakuna kurara!.
 
Ngoja aje a-confirm mwenyewe.... Husny mwenyewe kakimbia naona mpaka mhusika aje ndo atatinga hapa.....lol

nipo anti. Nilikuwa nimesahau kuoga.
Kama kuna mtu hajaoga haruhusiwi kuchakachua sredi, atatunukisha majasho.
 
boli limeisha sasa leteni udaku, kama una shida ya feza leta account yako PM haraka. Mzembe nina mapesa kibao ya kurisi
 
sijakuona wala nini. Labda nivae miwani yangu ya jua.
Halaf mzembe leo nimeondoka na singlendi tu, yaani ukiniona hauwezi kunitofautisha na lonado di kaprio. Kila ninapopita vidada vinajikwaa.
kulaleki!
wee zembea tu
 
mzima. Nimekumiss miss. Chana bateta ndio jiii? Poa tu.

Hahahah! Nilikuwa nacheki mpira si unajua tena sisi ndiyo wadau wa MAN UTD..

Chana bateta wewe utaki kupeka, weka basi na wewe Avatar...lol.. Utapendeza
 
Halaf mzembe leo nimeondoka na singlendi tu, yaani ukiniona hauwezi kunitofautisha na lonado di kaprio. Kila ninapopita vidada vinajikwaa.
kulaleki!
wee zembea tu

mzembe nakuona unavuja jasho hadi unatuloweshea sever za jeief.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom