Usafi katika nyeti! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usafi katika nyeti!

Discussion in 'JF Doctor' started by Columbus, Oct 30, 2011.

 1. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Naomba kujuzwa ni namna gani naweza kudumisha usafi katika sehemu nyeti kiasi cha kupata maksi za juu. Je kuna madawa yanayotumika kudhibiti fungus na mwonekano usiovutia bila kuleta madhara???
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kwa jinsia gani labda ili iwe rahisi kunyumbulisha...
   
 3. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Me au ke?
   
 4. A

  Abu-Musab Senior Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama we ni demu oshea joni walker kama ni men basi pendelea sana kuoshea maji ya dafu
   
 5. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Usafi ni usafi tu bila kujali jinsia, lakini kama mahitaji yanatofautiana nitashukuru kwa kunijuza.
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa mwanamke:
  1. Tumia intimate gels wakati wakuosha.
  2. osha zaidi na maji baridi kuliko ya moto.
  3. mara kwa mara tumia intimate wipes during the day (kama upo ofisini au unasafiri mfano, unaweza kutumia mara 2 au mara 3),
  4. ukienda haja kubwa au ndogo jifute vizuri mbele kwenda nyuma.
  5. Kama utaweza, kila uendapo haja tumia maji (pressure) alafu futa vizuri kutoa maji maji. hakikisha maji ya nyuma hayaji mbele in the process... (tricky)
  6. Vaa chupi za cotton or silk. usitumii sana synthetic material ila kama kuna ambayo imekufurahisha sana make sure ina a cotton piece pale penyewe...
  7. usitumie deodorant au mafuta sehem hizo, even the 'vaginal' deodorants.
  8. nyoa vuzi mara kwa mara (at least twice a month), hasa wakati wa period.
  9. Wakati huo hakikisha unabadilisha towel kila baadaya ya masaa 6 (or less) na kama ni tampon kila baada ya masaa 4 (or less).
  10. Avoid vaginal sex after anal sex (unless kaosha vizuri vifaa vyake).
  11. Badilisha chupi mara 2 kwa siku (or more). fua chupi as soon as you remove them, then ukitaka kuzifua tena kwa pamoja later it is fine. usivai chupi bila kuiiga pasi, usichangi chupi ambazo hazija pigwa pasi na zile zilizo pigwa. Usilale bila chupi (if possible)
  12. Avoid wandering around chupi-less, hasa kama unavaa skirt. Unakaribisha vumbi tu!
  13. Ukiona dalili yoyote ya fungus pata ushahuri wa daktari, badilisha chupi zote. wakati wa treatment tumia chupi single use (kama utaweza) au zingatia sana masharti ya usafi wa chupi.
  14. Usifanye mapenzi wakati wa treatment, na ukimaliza treatment hakikisha mpenzi wako has been treated too.
  15. Use condom (in fact nilitakiwa kuanza na hii)
  16. Osha sehem za siri kila baada ya kukutana (even between goli)
  17. Jaribu kutokunywa antibiotic bila sababu, they disturb the eco-balance ya huko chini
  18. Don't stress yourself with this list, most of it will become a natural routine. some of them are not applicable to you, some are...
  Kwa mwanaume sijui...
   
 7. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wewe ni kiboko na unastahili kuwa supoer moderator. Big up! Ila kweli mengine hayawezekani in practice. Between nanihiino??? Kitasa kubadili x2 or more kwa mfanyakazi? Kutoka oral kwenda vaginal wakati pressure ziko juu wote wawili wataweza kusubiri???
   
 8. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  nimeipenda sana hyo ur a gd teacher
   
 9. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndio hapo nasema vingine ni ngumu kidogo ku-practice but jaribu as much as you can. mfano:
  when nanihiini zimeungana too close unaendelea tu but when you have time just do it (when it looks as if mmemaliza, even if later mnashtua tena). Kitasa hicho si unabadili asubuhi, when you are about to leave your house, then tena jioni when you come back , and you keep it overnirght. Sijasema kutoka oral (bacteria za mdomoni hazina shida) nimesema ANAL (for those who are into it)... one has to! no compromise hapo.
   
 10. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Thanks Teacher(RR), 'A lesson Taught is a Lesson Learned'
   
 11. RR

  RR JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Hapa kuna nini asee
   
 12. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  sijui mwanaume anahitaji usafi au la..
   
 13. msadapadasi

  msadapadasi JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mnz\a maana gani hapa..
   
 14. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160

  Hongera sana kwa somo zuri limeeleweka! Ila pia huwa nasikia ya kuwa mwanamke hatakiwi kujiosha kwa nje tu baada ya kukutana na mwanaume (yaani baada ya kujamiiana) hata ndani pia anatakiwa kuchokonoa ma sperm ndo anakuwa msafi je hii ni kweli? Naomba dada utufundishe zaidi nami nikawe mwalimu kwenye jamii!
   
 15. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  tigo??
   
 16. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Usafi ni muhimu kwa wote tu na sio wanawake peke yao. Fuata haya

  1. Fua nguo zako za ndani mara kwa mara. (Wanaume wengi sana ni wavivu kwenye suala hili)
  2. Nyoa vuzi kila baada ya wiki mbili usisahau pia za kwapa.
  3. Osha "dudu" kila baada ya kufanya tendo kwa maji safi na sabuni. (wengi huwa mnafuta tu kwa vitambaa). Na uoge baada ya kumaliza hiyo shughuli.
  4. Oga mara kwa mara.
  5. Jioshe vizuri baada ya kukata gogo unatoka mbele kuelekea nyuma.
  6. Kojoa mara baada ya kumaliza tendo na mwandani wako, hii husaidia kusafisha ile njia ya shahawa.
   
 17. Kimolah

  Kimolah JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  darasa linanoga!
   
 18. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  i like
   
 19. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  I think ni kweli, tena sio baada ya kufanya mapenzi tu. Mwanamke anatakiwa kujiosha nje na ndani at least mara tatu kwa wiki, na kila baada ya tendo la ndoa.
  Sababu ya kufanya hivo ni kwamba Ph ya sperm ni tofauti sana na Ph ya uke na inasababisha fungus ya aina fulani kumea haraka na kuleta harufu mbaya. Sababu lingine la kuosha hapo hapo (obvious) ni uke kua na utelezi fulani ambao haupendezi kabisa. Unaweza kuosha tu kwa nje na maji baridi alafu uoshe vizuri kwa ndani wakati wa kuoga mwili mzima (kwa wale wanao oga kabla ya tendo mfano)
  Kwa kuosha uke wako chuchumaa, panua miguu kidogo, tumia maji masafi yasiwe ya moto (kama utaweza tumia ya baridi), chukua intimate gel kidogo, apply straight kati kati ya mashavu, sugua kwa vidole (sio makucha) na suuza kwa maji baridi.
  Kwa kuosha ndani ya uke tumia maji tu (usitumii gel) . ingiza kidole (as far as you can) alafu kipindishe kidogo, vuta nje. Kama hujafanya kwa muda utaona kuna "something" kinatoka. repeat until you feel clean.
   
 20. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama unaweza kupata, use this:
  MG-vaginal douche.png
   
Loading...