Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
khaaaaaa! tupo jukwaa gani? naona unatafta ban ki moon sasa
typing error bana.
khaaaaaa! tupo jukwaa gani? naona unatafta ban ki moon sasa
hehehe mwambie uyooo!uporoto darling, kloro umwangalie kwa jicho la 3. Ila unavyonitenga nitahamia kwa shemeji ujue.
Nyumba ndogo ndio nini tena ? nasi tunaishi nyumba ya vyumba 20 kama obama ? nitakosaje kutulia kwa hus a woman and a half.mme wangu mtulivu. Nyumba ndogo anazisikia kwa jirani the boss.
am watching you friend(kidhungu kwa msisitizo) juzi Hus akiwa usingizini kasema 'kloro acha uchokozi' sasa itabidi urafiki uwe wa kimachale aisee sina mzaha na kifaa changu hichi ni adimu chali yangu.Halaf na mimi ni shemeji yako usinitanie tanie kupita kiasi. Uporoto namheshim sana . ok
hehehe mwambie uyooo!
japo sifurahii lakini ikibidi basi hata mimi naona bora ukuje tu
Nyumba ndogo ndio nini tena ? nasi tunaishi nyumba ya vyumba 20 kama obama ? nitakosaje kutulia kwa hus a woman and a half.
am watching you friend(kidhungu kwa msisitizo) juzi Hus akiwa usingizini kasema 'kloro acha uchokozi' sasa itabidi urafiki uwe wa kimachale aisee sina mzaha na kifaa changu hichi ni adimu chali yangu.
am watching you friend(kidhungu kwa msisitizo) juzi Hus akiwa usingizini kasema 'kloro acha uchokozi' sasa itabidi urafiki uwe wa kimachale aisee sina mzaha na kifaa changu hichi ni adimu chali yangu.
Hii akiona chatu dume lazima pressure itapanda tu. khaaa!switiii tulale au bado kidogo?
Yaani we una roho ya paka aisee hukati tamaa tu ? huyu si mlishindwana bahati ikaja kwangu ? napendekeza mrema akuachie uenyekiti wa TLP na ukomae aisee si unajuwa ukimpinga tu anakutimua lol!hehehe mwambie uyooo!
japo sifurahii lakini ikibidi basi hata mimi naona bora ukuje tu
kuna kulala leo nataka kama juzi lol!switiii tulale au bado kidogo?
Hii akiona chatu dume lazima pressure itapanda tu. khaaa!
kuna kulala leo nataka kama juzi lol!
Yaani we una roho ya paka aisee hukati tamaa tu ? huyu si mlishindwana bahati ikaja kwangu ? napendekeza mrema akuachie uenyekiti wa TLP na ukomae aisee si unajuwa ukimpinga tu anakutimua lol!
huyo ni member wa jf au guest?
khaaaaaa!utapata hadi akiba. Lol.
khaaaaaa!
mmmmhhh!na wewe una taka?
mmmmhhh!
sasa wakuu nalog out mida za kupiga chabo tayari.
mlale salama ,muamke salama, tumieni kinga mimba ni gharama
hehehe salama yako tayari nimeagammmh! Nini?
unauliza makofi polisi,naona laptop imelowa udenda wa kwanini nilimpoteza Hus lol!na wewe una taka?
usiku mwema angalia lakini ukiona giza ujue wametoboa macho na hapa JF utasimuliwa tu.sasa wakuu nalog out mida za kupiga chabo tayari.
mlale salama ,muamke salama, tumieni kinga mimba ni gharama
wewe na nani?poa poa. Uote tunakunyonyoa vinyweleo.