CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

Unapokuwa na simanzi unakuwa mbyutiful mpaka namwonea wivu hommie.

Khaaa!!! Sweetie has neva told me this.... And as far as I know my smile was one of the things he fell for.... (alafu taratibu shem... wivu kwa hommie? lol)
 
Asante Dearest.... Humbled dear.... Najua leo hata wenyewe wamejifanya wapo busy kuingia JF wataingia leo hapa.....lol

most welcome....

dahhh huyu nimemuweka kule kwenye picha na wenzake..
ila naona anakufaa hapa...
zawadiyo....

Oh!! Jamani AD.... LOVELY!! THANK YOU..... (am curious thou kama hio love ya manyoya imechorwa ama kazaliwa hivo??)
 
Jamani naomba munisaidia na mumsaidie mwalimu wangu Gaijin......... Tulikuwa na kipindi cha maswali na majibu kwenye jukwaa la madaktari....
Tafazalini sana:

Aspirin

Huuh "kutema mate" tena!

Mjamzito??

Swali la kizushi:

Ushawahi kumwona mwanaume anakojoa asiteme mate?
Au mwanamke akimwaga kojo bila kuachia kaushuzi kiduchu? (hapa nazungumzia wanaojojoa wakiwa wamechuchumaa) LOL

Duh .....hili suali kweli nimekosa majibu!

Majibu tafazali kwa anayejua...........
 
Khaaa!!! Sweetie has neva told me this.... And as far as I know my smile was one of the things he fell for.... (alafu taratibu shem... wivu kwa hommie? lol)
Hahahahaah! Sshhhhhhh (usimwambie bana, jamaa ana mihasira twaweza vunja undugu)
 
Jamani naomba munisaidia na mumsaidie mwalimu wangu Gaijin......... Tulikuwa na kipindi cha maswali na majibu kwenye jukwaa la madaktari....
Tafazalini sana:Majibu tafazali kwa anayejua...........

mmmh! Goja aje mwingine, mie Gaijini hua hatuwezani.... We have neva come to an agreement in anything... Nimekuachia wewe...

Hahahahaah! Sshhhhhhh (usimwambie bana, jamaa ana mihasira twaweza vunja undugu)

Naaah!! Can not do that Shem.... lol
 
mmmh! Goja aje mwingine, mie Gaijini hua hatuwezani.... We have neva come to an agreement in anything... Nimekuachia wewe...

Naaah!! Can not do that Shem.... lol
Ukimuweza Gaijin nakutunuku digrii ya heshima kama aliyotunukiwa prezidaa wetu
 
umetufungulia sred tumwage maumbea siyo?
Aisee huku mtaani kwangu hakuishi vituko, jana usiku mida ya saa tatu na nusu ivi. jamaa mmoja jirani yangu anaishi nyumba ya tatu kutoka napokaa, alikuwa anampiga mkewe, kamtwangwa kwelikweli mwanamke kapiga ukunga ule wa kichagga(yeleuuwiii yewooomiii). Baada ya kipondo hevi. Majirani wakaona wakamwokoe yule mwanamke.
Wakifuatana na balozi eti wakagonga hodi, jamaa akafungua mlango, jasho linamtoka kama maji, mkononi kashika mkanda.
Balozi wa 10house kamwambia, unamtwanga wife wako kama mnyama kwanini? Jamaa kucheki kadamnasi,akamjibu mzee wa watu, "NAFANYA MAPENZI NA MKE WANGU, SIMPIGI, unaingilia nyumba yangu??".
Ikabidi watu wajisapie zao taratibu. Mke akaendelea kula kichapo.
 
Umeona eeeh?? Tatizo ni muelewa BUT i feel like to me.... either she does not understand me, or behaves like she does not.... lol.... Naona niachane na hii Discussion shem, nisije pigwa Ban.
 
umetufungulia sred tumwage maumbea siyo?
Aisee huku mtaani kwangu hakuishi vituko, jana usiku mida ya saa tatu na nusu ivi. jamaa mmoja jirani yangu anaishi nyumba ya tatu kutoka napokaa, alikuwa anampiga mkewe, kamtwangwa kwelikweli mwanamke kapiga ukunga ule wa kichagga(yeleuuwiii yewooomiii). Baada ya kipondo hevi. Majirani wakaona wakamwokoe yule mwanamke.
Wakifuatana na balozi eti wakagonga hodi, jamaa akafungua mlango, jasho linamtoka kama maji, mkononi kashika mkanda.
Balozi wa 10house kamwambia, unamtwanga wife wako kama mnyama kwanini? Jamaa kucheki kadamnasi,akamjibu mzee wa watu, "NAFANYA MAPENZI NA MKE WANGU, SIMPIGI, unaingilia nyumba yangu??".
Ikabidi watu wajisapie zao taratibu. Mke akaendelea kula kichapo.

Khaaa!! Huu umbea umenikumbusha shooting ya Wimbo huu hapa.... Wa Buster Rymes....

Last edited by a moderator:
umbea...upo wa kumwaga!huku kipya ni admin ye2 inabana madenti balaaa,maisha yamekuwa kama sumu,machafu kibao yanafichuka...ukitaka kujua zaid,,,dnt wory ntawatel soon
 
umetufungulia sred tumwage maumbea siyo?
Aisee huku mtaani kwangu hakuishi vituko, jana usiku mida ya saa tatu na nusu ivi. jamaa mmoja jirani yangu anaishi nyumba ya tatu kutoka napokaa, alikuwa anampiga mkewe, kamtwangwa kwelikweli mwanamke kapiga ukunga ule wa kichagga(yeleuuwiii yewooomiii). Baada ya kipondo hevi. Majirani wakaona wakamwokoe yule mwanamke.
Wakifuatana na balozi eti wakagonga hodi, jamaa akafungua mlango, jasho linamtoka kama maji, mkononi kashika mkanda.
Balozi wa 10house kamwambia, unamtwanga wife wako kama mnyama kwanini? Jamaa kucheki kadamnasi,akamjibu mzee wa watu, "NAFANYA MAPENZI NA MKE WANGU, SIMPIGI, unaingilia nyumba yangu??".
Ikabidi watu wajisapie zao taratibu. Mke akaendelea kula kichapo.

dah.....hii kali!!! Huyo mwanamke si angecholopoka hapo hapo ili asevu hicho kipigo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom